Ulishawahi kununua asali kwenye duka la serikali? Uliwezaje?

Ulishawahi kununua asali kwenye duka la serikali? Uliwezaje?

Kwa nini hujauziwa na Asali ipo? Tatizo mpo negative kwa kila kitu cha Serikali. System ya malipo ya serikali inajulikana, hakuna mahali watu wanapokea cash, na inaweza kutokea umefika system ipo chini, katika nchi hii hiyo kutokea ni kawaida, hata mabenki kuna wakati system inakuwa down. Mtumishi wa aliyepo hapo hawezi kupokea cash under any circumstances, kwa sababu hata kama atafanya hivyo kukusaidia ili kukupunguzia usumbufu in case system ipo chini utarudi hapa kusema pale hela zetu zinapigwa maana wanapokea cash! No one wants that! Mifumo ni ya Serikali na pesa ni za Serikali, mfumo ukigoma utaambiwa tu umegoma, hakuna namna, sababu no one wants to mess up with government money.
Suala la kitu kiddogo napinga, anayeuza namjua ni very decent lady. Kama ilitokea hukuuziwa na Asali ipo itakuwa ni sababu nyingine.
unaweza nipa nmba ya yule dada pale
 
Maisha yetu ya kila siku yanaamuliwa na siasa kwenye kila kitu kuanzia tule nini,tulale wapi,tutembee kwenda wapi,tuwe na furaha kiasi gani na kadhalika.Kwa hiyo siasa ni muhimu kupindukia.Tanzania imefika hapa ilipo kwa sababu ya wananchi kuikataa siasa.
Ni kweli unayoyasema ila punguza kidogo mzee baba, kwakweli hadi nahisi furaha yako imepunguzwa na siasa sio yule Behaviorist mzee wa vyura
 
Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam).

Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni ishu....kila siku network ni shida??? majibu ni hatupokei cash ukisema nna hela kwenye simu unaambiwa network inasumbua sasa biashara wanafanya lini??? nakereka sana kufunga safari ndefu halafu nafika majibu ndio hayo, hivi wameshindwa hata kuuza kwa risiti??? Hadi nahisi labda huwa hawauzi je kuna mtu alishawahi kupata huduma pale???
Ukiona hivyo ujue asali hawana
 
Mm mbona napata kila nikienda. Tena kwa wingi mnooo. Uclipie kwao wakisema ipo chukua control namba nenda kwa wakala fasta mbona. Bila kupepesa macho hii ni bznes nzr mno kwa sisi baazi tuna uza nje ya nchi asali yenye lebo ya Tanzania yani serikali inauzika kirahisi nje. Ndio maana wanazidiwa na soko. Uzalishaji wao nazani mdogo
 
Mkuu Kama unataka asali mbichi njoo pm
IMG_20220410_115314_197.jpg
 
Acha uongo, mbona watu wananunua kila siku? Ni kweli kuna wakati stock huisha kwa sababu Asali inayouzwa hapo ni ile iliyozalishwa na Serikali tu.
Kwanini wasiwe na wakala wao sehemu kama Mbezi beach, Masaki, Oyster bay pale mororo store, Bagala kwenye barabara kuu pale, Temeke hospitali pale ni mahali pazuri kuweka, Kimara stend na mbezi mwisho wasafiri wanaoenda mikoani wanwaweza nunua. Ukiribimba wa
Yule mdada bonge ndiyo rafik yako??
Mimi asali ya Pinda naikuta soko kuu majengo mabanda ya nje kuna kibanda kinauza asali ndo humo naipata. Muuzaji ni kijana manamme.
 
Una bahati waeleze wenzio mbinu unazotumia ile asali kuuziwa ni kazi san
Huwa naenda kati ya saa nne asubuhi na saa sita mchana.
Mara zote nulizoenda ni zaidi mara kumi napewa control no nalipa kwa simu au kwa wakala hapo nje.
Hata kesho nitapita ,nikishindwa kupewa control no itakuwa kwa mara ya kwanza
 
Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam).

Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni ishu....kila siku network ni shida??? majibu ni hatupokei cash ukisema nna hela kwenye simu unaambiwa network inasumbua sasa biashara wanafanya lini??? nakereka sana kufunga safari ndefu halafu nafika majibu ndio hayo, hivi wameshindwa hata kuuza kwa risiti??? Hadi nahisi labda huwa hawauzi je kuna mtu alishawahi kupata huduma pale???
Hao wana hujumu haiwezekani kila siku mtandao uwe hakuna kwao tu
 
Kwa hiyo ukiila Asali unakuwa kama umevuta Sigara?
Hapana lakini wataalamu wanasema ukiila ni kama vile umevutishwa sigara sawa na wavutaji wanapovuta ukikaa karibu nao wewe ndo unavuta zaidi maana wewe ni recipient ambaye hutaki ila unavutishwa.
 
Maduka ya serikali?
Ndio nasikia leo.
Pale darajani kuelekea kariakoo ambako ilikuwa wizara ya maliasili na utalii lile jengo la wizara [Mpingo House]limeachwa chini ya usimamizi wa idara ya maliaasili na utalii wapo mpaka wakala wa misitu Tfs sasa pale kwa mbele barabarani kuna vifremu kimoja ni atm ya Nmb na kingine ndo idara ya mali asili wamefanya kama duka sio asali tu vitu vingi vya utalii na misitu wanauza ila ndo mchakato wake kama anavolalamikia mdau apo juu.
 
Hivi serikali bado ina maduka?
Nilijua haya mambo yalikua enzi za ujima huko?
 
Back
Top Bottom