Ulishawahi kununua asali kwenye duka la serikali? Uliwezaje?

Nikupatie namba ya rafiki yangu?
Anakuletea asali safi toka Shinyanga, lita 20 kwa laki 2
 
Too much siasa ni kujipa stress tu, huku tunashupaza shiiiingo wao huko ccm na chadema wanakutana mjengoni na mabig smile jioni wanaenda kula kuku pamoja, kazi kwetu mashabiki maandazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo sisi na waganda unaona bora waganda ambao Wana Rais mmoja miaka nenda miaka rudi.
Sisi tunaobadilisha raisi kila uchwao na wanatubimbirisa hovyo ndio tuwe na afadhali!?

Haiwezekani[emoji23]
 
Kila kitu Serikalini kinaenda kwa mtindo huo lakini hapa namba moja wa kulaumiwa ni wananchi wenye nchi ambao badala ya kutimiza wajibu wao wa kuiwajibisha serikali huwa wapo wapo tu na kushangaa shangaa kama mazombi yaliyofufuka kutoka kuzimu.
Wananchi wamemegwa wako in pieces
 
Hii ni asali asili kabisa mkuu, nikuletee lita ngapi
Niliacha kutumia asali baada ya tetesi kuwa wahuni wanachanganya na oil.

But ninataka asali kama naweza pata lita tano.

Unapatikana wapi, pia bei yako ikoje
 

Mbona mi nilishanunua hapo
Jengo la Mpingo house kwa pale nje we ulikwama network labda mbona hawasumbuagi.

Kutopokea cash ni sahihi maana saiv malipo ya Serikali yanalipwa kwa control number
 
ile ya pale ni nzuri haijachakachuliwa ndio maana naifungia safari
Mkuu wala usipate shida,ukienda pale goms kituoni kuna duka moja la asali,asali yao ni nzuri sana haina longolongo ya kuchakachuliwa,niliona wana kibali cha hao maliasili pia nadhani watakuwa wanawafahamu,nenda kanunue pale mkuu!
 
Mkuu wala usipate shida,ukienda pale goms kituoni kuna duka moja la asali,asali yao ni nzuri sana haina longolongo ya kuchakachuliwa,niliona wana kibali cha hao maliasili pia nadhani watakuwa wanawafahamu,nenda kanunue pale mkuu!
Goms upande gani ukiwa unatokea mjini?
 
tatizo la asali za serikali nyuki nao wanafanya kazi kama ccm kwahyo kuna muda wanazingua kama wamiliki wao usishangae nyuki wasifanye kazi miezi mitatu kama tu walamba asali wanavyofanya hakuna jipya ni kusifiana na kusujudiana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…