Ulishawahi kuona malaika?

Hahahaha baada ya kusoma ule Uzi Wa Jamaa anazungumzia Mungu Wa walokole akagusia habari za malaika

Ili nipa hamasa sana ya kutaka kuona malaika

Sasa wakati nipo kwenye maombi ya jioni siku ya alhamisi wakati nimezama kwenye maombi ile story ya Jamaa ikanijia kichwani
Nikaona hapa hapa kwenye wingu la kuzama niombe Neema ya Mungu nione malaika

Ninapoanza kutamka tu nikajikuta nashukuru na kusema asante Mungu Kwa ajili ya uwepo Wa malaika wako mahali hapa

Gafla hali ya hewa ilibadirika kukawa na hali ya ukungu hivi aise ilishuka nguvu ya roho mtakatifu nijazama jumla hapo nikinena Kwa lugha

Kwa raha ya uwepo ule Wa nguvu za Mungu hata sikuwaza tena kuhusu malaika

So nikajua hata malaika niwaone haitakuwa na faida kwangu zaidi ya kujitafutia majivuno tu

Ninachohitaji nikudumisha ushirika wangu na Mungu wakati wote maana ushirika huo ndio unaosababisha malaika wanihudumie
 
Mzee kwa mujibu wa Biblia..
MALAIKA WANA MAUMBO YA KUTISHA SANA YAAANU KIFUPI MALAIKA WANATISHA SANA..

BORA HATA PICHA MNAZOMCHORA SHETANI...
WANATISHA SANA...
USITAKE KUWAONA
Mhhh
Duuh point sana mimi sitaomba tena milele yote niwaone ila sasa nataka njia yake tu, hivi tofauti ya binadamu na malaika ni ipi?
Nani Mkuu nani anamtumikia mwenzie
 
Mkuu! Hizi sura za mashetani wala sio malaika!
 
Yesu uliyemuona anafanana na huyu wa kwenye movie???
 
TOA hiyo hang over

Jitahidi uache ulevi

Alikuwa mtu WA kawaida tu
 
Unasema unataka ku experience mambo ya ulimwengu mwingine? Inawezekana kuwaona kama unavyotaka lakini inabidi kufanya tafiti jinsi na namna yakuwaona.

Kuna kitu kinaitwa invocation na evocation soma hivyo vitu viwili ndio utajua uwanzie wapi au unataka uwaonaje?
 
😂Mi nimewaacha...ililetwa thread ya story za uchawi nikaambiwa nimeharibu kisa nimesema uchawi haupo...wajinga ndo waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…