Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

Tatizo linaanzia kwenye mtindo wa maisha. Maskini maisha yake yote ni heka heka na lishe yake ni chakula duni kwa kukitazama ila ndio chakula bora.

Maskini anakula mboga za majani kwa wingi, anakula ugali kisha anaingia kufanya kazi. Kutokana na pilika zake, anakunywa maji mengi.
 
Tatizo linaanzia kwenye mtindo wa maisha. Maskini maisha yake yote ni heka heka na lishe yake ni chakula duni kwa kukitazama ila ndio chakula bora.
Maskini anakula mboga za majani kwa wingi
Maakini anakula ugali kisha anaingia kufanya kazi
Kutokana na pilika zake,anakunywa maji mengi.
Kumbe ndio Dawa
 
Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu maskini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye Elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.

Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
Wapo wengi tu mkuu. Tatizo wengi ttumekariri kuwa tatizo la nguvu za kiume linasababishwa na mtindo wa vyakula. Kumbe kuna some other factors like behaviors na msongo wa mawazo.

Masikini wengi walevi kupindukia, pia ni wavutaji Wazuri wa sigara nk
 
😅😅😅
 
Tatizo la utajiri ni mawazo ya kumantain utajiri. Mikopo, projects, kodi, washindani.

Hata watu wenye akili nyingi(wavumbuzi) inasemekana ngono hawako vizuri.
Hapa nimekupata mkuu Mana Kuna kitu nakifanya mpaka hisia hazipo ujue ,nawaza tu kukubali Basi history itaandikwa namie kwa maisha yangu binafsi
 
Maskini hawana matatizo kwenye akili?
Yan nnaposema akili Kwa maana ya kisaikolojia zaidi..hata hao masikini wanaweza wakawa na hilo linalosemekana ni tatizo,pia na matajiri hivyo hivyo,na ndo maana mtu siku moja ikimtokea akapiga show mbovu,kuna hatari ya kuathirika zaidi..na ikimtokea akapiga show Kali,basi kuna uwezekano wa kuendelea kupiga vizuri zaidi na zaidi
 
Back
Top Bottom