Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.

Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
Kuna ile ishu ya hapo Rombo nadhani ulikuwa haujazaliwa bado maana imetokea 2015 ilipelekea wanawake wa huko kukodi wanaume kutoka kenya ,ilibidi serikali iingilie kati.
 
Ushawahi wapa mzigo masikini na wenye pesa ili kukamilisha research yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ile ishu ya hapo Rombo nadhani ulikuwa haujazaliwa bado maana imetokea 2015 ilipelekea wanawake wa huko kukodi wanaume kutoka kenya ,ilibidi serikali iingilie kati.
😅😅😅😅kenya nu jirani zetu. Hakuna tatizo kukodisha
 
lishe yake ni chakula duni
Hapana, sio chakula duni. Maskini anakula Dona la uhakika,mboga za majani za kutosha. Vyakula ambavyo mtu mwenye fedha ya kubadilishia mboga anakwambia mimi huweiz nilisha Dona na mboga za majani, Kwamba kwake hicho ni Chakula Duni

Sasa hapo nani anakula chakula duni.

Kati ya maskini: Dona na mboga mboga
na
Tajiri | mla junk food na soda
1678164748169.jpeg

vs

1678164967552.png

Hawa wala Junk food ndio wagonjwa hasa lnapokuja swala zima la nguvu za kiume.

=
Pia angala nature ya kazi zao: Maskni lake Jembe la mkono, zoezi tosha kabisa, Physically na mentally anakuwa FIT zaidi

Kuliko yule Tajiri kwenye ofisi yenye kiyoyozi na muda wote amekaa anafanya kazi | Lazima apate tatizo la nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom