Kumbe ndio DawaTatizo linaanzia kwenye mtindo wa maisha. Maskini maisha yake yote ni heka heka na lishe yake ni chakula duni kwa kukitazama ila ndio chakula bora.
Maskini anakula mboga za majani kwa wingi
Maakini anakula ugali kisha anaingia kufanya kazi
Kutokana na pilika zake,anakunywa maji mengi.
Ndio kusema na sisi tugeukie chakula duni?Wanaume wa kimaskini wanapigaga show za kibabe Sana kitandani.
Exposure yao ndo inawafanya wawe vile,kula vyakula vigumu, kufanya kazi ngumu na mengineyo huchangia.
Wapo wengi tu mkuu. Tatizo wengi ttumekariri kuwa tatizo la nguvu za kiume linasababishwa na mtindo wa vyakula. Kumbe kuna some other factors like behaviors na msongo wa mawazo.Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu maskini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye Elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.
Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
Maskini hawana matatizo kwenye akili?Hakuna matatizo ya nguvu za kiume,ila akili ndo tatizo...
😅😅😅Wapo wengi tu mkuu. Tatizo wengi ttumekariri kuwa tatizo la nguvu za kiume linasababishwa na mtindo wa vyakula. Kumbe kuna some other factors like behaviors na msongo wa mawazo.
Masikini wengi walevi kupindukia, pia ni wavutaji Wazuri wa sigara nk
Well saidKama tatizo la nguvu za kiume lingekuwa kwa matajiri tu lisingekuwa kubwa maana matajiri ni sehemu ndogo sana ya population ya Tz na dunia kwa jumla.
The worst comment I've ever seenHakuna matatizo ya nguvu za kiume,ila akili ndo tatizo...
Ukikua utaelewaHakuna matatizo ya nguvu za kiume,ila akili ndo tatizo...
Hapa nimekupata mkuu Mana Kuna kitu nakifanya mpaka hisia hazipo ujue ,nawaza tu kukubali Basi history itaandikwa namie kwa maisha yangu binafsiTatizo la utajiri ni mawazo ya kumantain utajiri. Mikopo, projects, kodi, washindani.
Hata watu wenye akili nyingi(wavumbuzi) inasemekana ngono hawako vizuri.
Na wewe Kama uko sawaNi psychological issue kwa sana na magonjwa ndio yanasabishwa loss of libido
Yan nnaposema akili Kwa maana ya kisaikolojia zaidi..hata hao masikini wanaweza wakawa na hilo linalosemekana ni tatizo,pia na matajiri hivyo hivyo,na ndo maana mtu siku moja ikimtokea akapiga show mbovu,kuna hatari ya kuathirika zaidi..na ikimtokea akapiga show Kali,basi kuna uwezekano wa kuendelea kupiga vizuri zaidi na zaidiMaskini hawana matatizo kwenye akili?
Matajiri na wenye kipato cha kati.Kama tatizo la nguvu za kiume lingekuwa kwa matajiri tu lisingekuwa kubwa maana matajiri ni sehemu ndogo sana ya population ya Tz na dunia kwa jumla.
Jamaa Yuko sawa. Mbona huyo mwenye tatizo mpe like 10bn nadhani tatizo linaisha ama nakoseaUkikua utaelewa