Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
😅😅😅Jamaa Yuko sawa. Mbona huyo mwenye tatizo mpe like 10bn nadhani tatizo linaisha ama nakosea
Ndio kusema na sisi tugeukie chakula duni?
😅😅😅Mimi naamini hakuna tatizo la nguvu za kiume
kama huamini basi fanya mapenzi mara moja kwa wiki au mara moja kwa mwezi uone kama hupigi show za kibabe
Sasa unataka uile mbususu kila siku ili iweje,mbususu yenyewe haina jipya mbususu yenyewe ni ya mwanamke mdaiwa vikoba hapo hutaweza kuwa na nguvu
Kabisa mkuu, Mambo ya kipekee ya kutumia akili nyingi yakishakuwa sehemu yako automatic tu hutafikiri kuhusu ngono katika nyakati hizo.Hapa nimekupata mkuu Mana Kuna kitu nakifanya mpaka hisia hazipo ujue ,nawaza tu kukubali Basi history itaandikwa namie kwa maisha yangu binafsi
Anakwambia hakuna tatizo la nguvu za kiumbe.Jamaa Yuko sawa. Mbona huyo mwenye tatizo mpe like 10bn nadhani tatizo linaisha ama nakosea
Usijifanye mkubwa kunizidi,wewe kama una cha kuchangia changia...ni mjadala huuUkikua utaelewa
DuuhUle chakula duni kwa ajili ya nguvu za kiume tu? Si mlishaambiwa wewe fanya ukiona umeridhika muache aende, na Kama yeye ataona hujamridhisha Basi akamtafute wa kumridisha huko mbele.
Tatizo la nguvu za kiume lipo, na inasababishwa na vitu vingi.Usifanye mkubwa kunizidi,wewe kama una cha kuchangia changia...ni mjadala huu
Kama vipi ambavyo haviwapati maskiniTatizo la nguvu za kiume lipo, na inasababishwa na vitu vingi.
Amini nakwambia..hili suala ni la kiakili zaidi..The worst comment I've ever seen
Yeah jamaa wanashindwa kuelewa,hata vidonda vya tumbo huhusishwa sana na msongo wa mawazo,msongo wa mawazo ni mbaya sana iwe Kwa tajiri au masikiniNi psychological issue kwa sana na magonjwa ndio yanasabishwa loss of libido
Kisukari, kutofanya mazoezi, vidonda vya tumbo, matumizi mabaya ya dawa nkKama vipi ambavyo haviwapati maskini
Eeeh mada nyingine hii.Mambo Ya Hovyo Haa Jiwe Alikuwa Bhaghasha
Aaah kumbe akili inahamia kwenye vitu vya ufahariTatizo la utajiri ni mawazo ya kumantain utajiri. Mikopo, projects, kodi, washindani.
Hata watu wenye akili nyingi(wavumbuzi) inasemekana ngono hawako vizuri.
Vyakula vya sisi masikini na tusio na elimu na life style yetu:Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu maskini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye Elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.
Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
😅😅😅sawaVyakula vya sisi masikini na tusio na elimu:
Maboga,
Viazi vitamu na viazi vikuu,
Ndizi,
Ugali wa dona (hatuna hela ya kukoboa mahindi)
Mbegu za matango na maboga tunaanika Kisha tunatengeneza tui la kuungia mboga I we mzito(hatuna hela ya kununulia royco mchuzi mix),
Matumizi yetu ya sukari ni madogo maana sukari Bei juu(hatuwezi kumudu chai na juice kila siku),
alafu,Hatulipwi mshahara,tunapaswa tutoke rukatafute hivyo nguvu zetu ndiyo kula yetu. Kwetu kilimo Ni UTI wa mgongo,hatutoki vitambi kwa kazi ngumu za kilimo.
Most of the time tunakula OMAD(One meal a day) tukizidi Sana ni 2MAD (two meal a day).
Vyakula vyenu wenye elimu na exposure ya maisha:
Chipsi zege na kuku wa kizungu +mayonaizi,
Mnaingia MacDonald kula burger na pizza,
Vyakula vyenu ni sukari. Sukari ambayo ikiingia mwilini haina matumizi maana hamfanyi kazi ngumu,inaishia kuwaletea vitambi ili suti zenu ziwakae vizuri mzidi kupendeza,
Muda wowote mna uhakika wa kula,kwenu msosi siyo tatizo ndiyo maana mnanenepa na kuwa na nuru,
Hamna kazi ngumu,hamfanyi mazoezi,mnatumia magari muda wote.
Mkuu,Kuna kitu unaweza kujifunza kupitia hiyo life style ya Hawa watu wawili. Hakuna uchawi Wala kupendelewa na Mungu.