Ulishawahi kupendwa na mpenzi wa rafiki yako?


Inavuta kwa ndani [emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mimi naona SAS kama hii ndo kazi yangu sas hv keep kila mwanamke naetembea nae lazma nile yeye na rafk yake inafka hatua naona kama laana shida IPO huku kwa washkaj mademu zao nao napata lawama Nina visa vingi sana nitawaleteen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hongera Sana shostieeeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lete visa mkuu
 
hongera
 
Hahahahaha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha izi mambo banah acha tu.
Miaka flani nikiwa nmemaliza form six kipindi icho form six wengi wanakuwa walimu wa kujitolea. Kuna rafiki angu sana hata kesho n rafiki angu alikuwa na demu wake ambao wote tumesoma xcul moja o level ila demu alikuwa class moja nyuma.
Wote tukiwa walimu (Mimi na rafiki angu) xcul flan jina kapuni yeye akifundisha history & language huku miki nikifundisha chemistry & biology.
Siku moja tumetoka xcul tukiwa mm na huyo rafiki angu ,njiani akakutana n huyo demu wake ikabid aombe game demu wake akakubali. Sasa home kwetu palikuwa karibu na tulipokutania na huyo demu wake, ikabid amuache demu wake pale home kwetu aende home kwao fasta kuweka mazngra vizur ya kumla demu wake. Ebana kipindi icho siku za ijumaa huwa zinapigwa bongo fleva za hatariii pale RFA, ile nawasha radio tu getho nikiwa mm na huyo demu wa rafiki angu nakutana na wimbo wenye maneno haya " Sindano mbona waishika wewe wakati pa kuchoma napajua mie, dr acha uoga uoga"
Mara demu akasema acha huo huo wimbo nakupenda, nikamtania mie huwa sijui maana ya huo wimbo, ebana eeeh nae akaamini kweliii nilikuwa sijui. Akasema leo sitafanya mapenz na rafiki ako Y, ili kesho nije nikueleze kwa vitendo maana wa wimbo huo.
Ka masihara, jamaa ile kurud demu akazingua kwenda kuvuliwa chupi banah mara ooohh tumbo la MP limenianza gafla. Kesho yake ka alivyoniahid Huyu hapa., nikajichapia mzigo vizuri tu kwa ustaarbu wa hali ya juu. Nikaja mpiga chini alivyoanza story za kunipenda mara tuwe na mahusiano serious for marriage ukizingatia nilikuwa kwenye process za kujiunga chuo kikuu.

Ebana ndo ivo ila ninazo nyingiii sana ntakuja na nyingne ya mtoto V., daaah nakutafuta sikupatiiiiii jua mie D nakutafuta sana .
 
Mimi ilinitokea zamani hizo. Rafiki yangu tulisoma naye O level. Tukiwa chuo akanitambulisha girlfriend wake ambaye tulikuja kuzoeana sana, alikuwa mwanafunzi mwenzetu. Kisha binti akaanza mambo ambayo niliona kama mitego. Enzi hizo hakukuwa na mobile phones kwa hiyo akitaka kuniona anakuja room kwangu. Jamaa yake alikuwa anapenda disko, msichana hapendi. Ijumaa jamaa akienda disco msichana wake anakuja kukaa kwangu kupiga soga tu na kunisimulia novel alizosoma hadi usiku wa manane. Ndipo siku moja yakatushinda tukajikuta tumefanya ziada. Na ikaendelea for some months. Baadaye alipata mimba akasema ni ya yule mshikaji. Tulipomaliza masomo sote watatu kila mmoja akashika hamsini zake, binti akamlea mwanaye ni mkubwa sasa nimeambiwa ameshamaliza chuo, inawezekana hata huku JF yupo. Mshikaji alioa mwanamke mwingine aliyempata baadaye kazini huko. Mwisho wa kisa.
 
Binafsi sijawahi kupendwa na demu wa rafiki yangu.

Kama wewe ulishawahi kupendwa na demu wa rafiki yako tuelezee ilikuaje kuaje.


Siasa mbaya sana.


Nina mademu kama watatu wa rafiki zangu wananipenda ila siwezi kusimulia kiundani kivile kwani jamaa watajuwa na kuniwinda. Kuna mmoja anataka sana kuzaa na mimi ila nimemwambia anipe muda nifikirie. Mwingine alikuja mwenyewe nyumbani kunifuata na kuniambia anavyojisikia ila nisimwambie mshikaji wangu, ila huyu ipo siku tu. Huyu wa mwisho yeye alinivulia kabisa nguo na kuanza kulia ghetoni kwangu kwamba ana hamu nami, sikumlazia damu nikampa kichapo na mpaka leo bado nakula naye sahani moja yaani ni kama vile demu wangu.
 
mjomba una dawa Nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…