Ulishawahi kupendwa na mpenzi wa rafiki yako?

mjomba una dawa Nini.
 
Niliwahi pendwa na Kaka wa mwanaume wangu wa kwanza
Nikapendwa na rafiki yake(huyu mpaka kesho analalama)[emoji41]
Nikapendwa na bwana wa rafiki yangu..hapa ukawa ugomvi mkubwa
[emoji23][emoji23] Cleopatra is here.. wewe ni hatari, hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sijawahi kupendwa na demu wa rafiki yangu.

Kama wewe ulishawahi kupendwa na demu wa rafiki yako tuelezee ilikuaje kuaje.


Siasa mbaya sana.
Kitambo kidogo, nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu ambaye nilikuwa nimemwacha kiumri miaka mitano yeye alikuwa na miaka 20.

Kipindi kile Mlimani city jioni walikuwa wanakaa wakaka fulani hivi sio kila mtu. Sasa kati ya hao makaka nilikiwa mmoja wao.

Sasa yule binti alikuwa ananibania sana kuanza kula tunda, alijitetea sana na alikuwa ana shinda, kwa hiyo ikawa inapita tu, tunatoka na hatufanyi kitu.

Siku moja nikambadilishia upepo na kumwambia leo sina hamu ya kwenda sehemu kama mlimani city n.k, nataka twende ufukweni. Akakubali, kwa sharti la kuwa aje na rafiki yake ambaye tulikuwa tunatokaga naye mara moja moja.

Basi tulibeba pombe kali, tukaenda ufukwe mmoja ya wazi tukawa tumepumzika kwenye gari. Basi yhle rafiki wa manzi yangu, akashauri tuvute sigara kali. Basi kwa sababu nilikuwa natumjaga mara moja moja tukawa tunapiga huku tunakunywa pombe kali.

Mpenzi wangu 'akazima', akawa amelala ndank ya gari mimi nikiwa natembea tembea mbele ya gari. Basi yule rafiki yake alijikaza na kuja 'kunibusu' jambo ambalo halikuwahi kuwa mazoea yetu, na kuniambia kuwa ananipenda na yuko tayari kumwibia rafiki yake penzi.

Enzi zile si unajua ujana, nikaingia kwenye gari nikaona mtu kazimika, na yule mpenzi wangu alipaswa jioni ile arudi nyumbani kwao, kwa hiyo ilikuwa nk lazima tumwamshe tukiwa tunataka kuondoka. Basi ndani ya dk 10 thkawa tumeyajenga kati ya mimi na rafiki wa mpenzi wangu.

(Naishia hapo kutii swali la mleta uzi[emoji38][emoji23])

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂
 
ilikuaje mkuu?


Hii story ninayoileta kwenu ni ya kweli na nshawahi kuitolea shuhuda Kwa baadhi ya nyuzi za watu kuna ambao washaiona comment yake
Ni hivi kupunguza maneno sana ntaongelea kiufupi nilikuwa na rafiki angu wa kushibana lake langu.. langu lake alinisaidia Sana kwa kila kitu kuanzia elimu yangu na life langu kiujumla. well kwao walikuwa wanajiweza tofauti na Mimi mtoto wa kitaa msosi Mara mbili home mm nlisoma shule za kawaida haha japo nlkuwa msumbufu sipend shule ila kupitia Msaada wake na wazaz waliweza ni save


Yeye alisoma shule nzuri tu na wote tulimaliza na kufaulu alifurahi Sana advance tulienda shule tofaut still alikuwa msaada mkubwa kwangu
Baada ya miaka kadhaa alitokea binti kiufupi alikuwa rafiki yetu wote wawili naeza nikasema hvyo. Nakumbuka alikuwa rafiki yetu mkubwa Sana tulizunguka nae sana, tulishiriki shughuli mbalimbali pamoja mara nyingi alikuwa pamoja na mimi nlkuwa mcheshi kwake, mshauri mzuri in short Ali enjoy kuwa company na Mimi tulikuwa tukichat na kutembeleana Sana



Story inabadilika pale nilipogundua binti alikuwa kasha develop feeling kwangu in short alinipenda sana ila akuniambia alipenda company yangu na Siku nisipomtafuta au kuongea nae alinilaumu sana alikuwa hachoki kunitafuta yaah in short nilianza kumpenda still sikumwambia... Nikapanga nikamwambie


Kabla sijaenda mwambia rafiki angu aliniambia anampenda Sana huyo binti na asingeweza kuwa na amani bila huyo binti nilimuuliza ushamwambia akasema ndio ila kanijibu kuna mtu anampenda na anatamani ajue ila ndo hivyo anijifanya kichwa ngumu Kama amuelewi so hawez kuwa na mm nilimwambia usijal utampata
Niliwaza nikasema kwa nini jamaa, rafiki angu ateseke hivi kwa nini niwe chanzo cha huzuni kwake akati amekuwa mtu wakuniletea furahi, nikasema huu ndo mda wa kulipa fadhila japo nampenda I decided to let her go.. nikapotea kabisa nikawa sipatikani sijibu sms Zake akuchoka kutuma alikuwa akionana na rfk angu tuwe tuna enjoy good times together wote 3 Kama tulivyokuwa mwanzo still skupatikana rfk angu akawa anaulizwa "GH anashida gani" ila akuwa na jibu


Haha nilikuwa namwambia mwambie kahama mji kumbe mdau npo center zangu nachill na wadau nijitahidi kumsahau haha sjui alipajuaje nashaangaa huyo kaniibukia akasema huo ndo mji ulohama mbona unanifanyia hvyo au kwa sababu nakupenda. Nikashtuka nikasema umesema unanipenda akasema ndio usinifanyie hvyo akaondoka huku machoz yakimlenga mm nimekaa nashangaa shangaa tu still hakuacha kunitafuta


Nikaanza ku act Kama vile muhuni don't care Fulani hivi akipiga au kunitafuta namjibu shit nikapanga mchezo na msichana Fulani nikamhadithia kila kitu nilimwambia a act Kama mtu wangu hii plan ilitiki alikuwa akifadhaika Sana aliumia sana rafki angu alizidisha ukaribu nae hatimaye aka win akauteka mtima wake 1 yr later akamuoa alinialika lkn sikwenda


walishangaa kuambiwa nishaondoka kweny mji walisema safari hii kaondoka kweli au masihara
Yule binti nilieigiza nae roho ilimuuma akaenda mwambia ukweli wotee alizingua sanaa. Nimekaa zangu ndichi kijijini Yule binti nilieigiza Nae ananipigia simu ananiambia samahan gh sikutaka kushiriki zambi yako ilibidi nimwambie ukweli in short Amelia sanaa na amejaribu kukutafuta amekukosa nimemwambia namba yako sina ila alisema akifanikiwa kuonana na wewe kuna maswali atataka umjibu?
 
Kama muvi yani
 
Binafsi sijawahi kupendwa na demu wa rafiki yangu.

Kama wewe ulishawahi kupendwa na demu wa rafiki yako tuelezee ilikuaje kuaje.


Siasa mbaya sana.
Hii kitu ni mbaya sana,Ilishawah kutokea mara ya 3,
mara ya kwanza mshikaj ilibid tu nimuambie,Japo msichana ananichukia mpk Kufa hadi leo.

Mara ya pili kwa mshikaj wangu mwingine tena,hii sikumwambia mshikaj ila ilibid nitengeneze distance tu kuepusha kama haya ya mara ya kwanza.

Mara ya tatu hapa mshikaj mwenyew ndo alizingua Dalili za msichana wake kunipenda niliziona mapema ila nkaweka distance kama kawaida,kuna upuuzi mshikaj alinifanyia ndo kabsa akanipa hasira za kupita na mshichana wake(baada ya kugundua kuwa girlfriend wake ananipenda jamaa ndo akaanza kunikandia ileile,akamimina kila kitu mpk mambo ya familia yangu)kwa girlfriend wake,,msichana alinifuata na kuniambia kila kitu na mengine kuniuliza kama ni kweli,Ilinikata kinoma Kwa hasira nkaanza kudate na huyo mshichana wake ndo mpk leo niko nae na nahis anaweza kuwa mke huko mbelen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi imenitokea kama mara mbili hivi kuna manzi alikuwa wa mshikaji wangu ..baada ya kutemana mixer manzi kuanza kunisifia namna alivyokuwa ananikubali....but sikupita na hata mmoja..kamwe siwezi kupita na manzi wa mwana wangu wa damu...huo ni usnitch wa five star...kwakuwa lutaishia kumla wala hamuwezi kuwa na future becoz you each other background....
 
dah urafiki unakufa kwaajili ya mademu
 

Daah mi ujinga siwezi nikikuelewa day one tu nakwambia na si lazima nikwambie kwa kukutongoza I just tell the fantasy aspect of love makavu, ukibwengo siwezi nikuelewe halafu nisiseme huo ni ujima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…