Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Huko mjini atakuwa na mke au nyumba ndogo , huyo wa kijijini ametelekezwa kiaina
 
Wakati fulani sisi wanaume ndio chanzo cha wake zetu kuchepuka.

Mwanaume unaondoka nyumbani kwenda kulala kwa mchepuko. Unamwacha mkeo na watoto nyumbani. Hujui wamekula au la. Huachi mahitaji wala hela ya mahitaji.

Mkeo kawa kama siyo mke wa mtu. Anajipigania yeye na watoto. Unategemea nini?

Akikwama lazima atafute mbinu mbadala. Na silaha pekee aliyonayo mwanamke ni kidudu chake. Lazima ataangukia mikononi mwa mbaharia ili wamsaidie kutatua shida zake.

Nimeyaona mengi na mengine nimehusika. Mwanamke umemsaidia, anaamua kujikabidhi kama shukrani na hata kuhitaji msaada zaidi.

Lakini ukumbuke kuwa na yeye ni binadamu. Unachokifuata huko kwa mchepuko na yeye anacho na kinahitaji kuhudumiwa. Nani amhudumie ikiwa wewe umemtelekeza? Ndiyo maana wengine husema WANANDOA WENGI HUPATA RAHA YA NDOA NJE YA NDOA. Huenda sababu ni

1. Wanaume kutotenga muda wa kutosha kuhudumia ndoa zao. Wako busy na majukumu.

2. Baadhi yetu tukishapewa utamu na mchepuko, nyumbani tunalipua kazi. Mama hashibi, anaamua atafute pa kumalizia hamu.

3. Kitendo cha mwanaume kulala nje ya nyumba yako tena mtaa wa pili tu, husababisha mke kuchukia na kuona kama amedharauliwa. Kifuatacho atatafuta kulipiza.

Ushauri wangu, wanaume tujenge tabia ya kuzungumza na wake zetu kuhusu mapungufu ya chumbani na kutafuta namna ya kuyapunguza ili kuwafanya wake zetu kufurahia ndoa zao. Itasaidia sana kukwepa vishawishi.

Pia tuhudumia familia zetu kikamilifu na kwa upendo. Mama ajue kama analala njaa ni kwa vile mumewe hana kitu kabisa.

Nina mengi, muda hautoshi.
 
Nimefanya uhuni mwingi sana, ila MKE WA MTU is my limit aisee. The risk is not worth at all. Kuna pisi kibao fresh za 2000s huku kali kinouma, why ni risk maisha yangu na mali ya mtu alietolea mahari kabisa. Yaani jaribuni kujiweka kwenye kiatu cha mwenye mali, yaani akatoe mahari, akae vikao miezi 3 akusanye pesa ya harusi aoe then wewe firauni haujapitia process zozote alafu akutane na sms kuwa umetoka kumf**a mke wake. Ujue hata kama hauna asili ya kuuwa lazima itatokea tu. Mimi unless mwanamke atumie sijui uongo gani ila nikishajua ni mke wa mtu hata kama mumewe yuko sayari ya PLUTO si mgusi. Women are very careless in cheating, wanapenda kubakisha kumbukumbu and once they become emotional ni basi umekwisha.

Nataka kuanzisha kampeni

KATAA MKE WA MTU!!!!!!
 
Hii arguement yako haina mashiko kwa wale ambao hatuogopi wake zetu kugegedwa nje. Sasa sii na wao ni binadamu wana matamanio ya kuonja de liboloz tofauti
 
Usipokuwa na pesa ,shida, ukiwa na kazi inayokukeep busy Kama engineer hapo Napo shida.
Yaani ni hatari..!! Sasa sijui wanataka nini..!!
Tatizo huwezi kuwa available kwa mkeo at the same time uwe na muda wa kutafuta pesa. Lazima kimoja ukikose. Kwa bahati mbaya, chochote utakachokikosa, ndo hicho kitakachomfanya anyanduliwe nje..!! Yaani ukikosa muda atagongwa, na ukikosa fedha atapigwa kama kawa..!! WANAUME TUMEUMBWA MATESO
 
Umesema ukweli hiyo sentensi yako ya mwisho.
Wanawake wachache sana wanaweza kuwa wake.
 
Mkuu hiyo siyo sababu ya kuhalalisha kutoka na mke wa mtu, kama kaweza kumsaliti mumewe basi anaweza akawa na wewe na wengine pia, bora walio single, kwanza mnaweza fikia hatua ya kuoana ukaepusha msururu, mke wa mtu ni hamna malengo yoyote zaidi ya risk tu ukifumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…