Huyo mwanamke ni kwamba yeye ni mtoto mdogo hana maamuzi yake na hisia?Wewe unaumia sababu una gharamia mkeo sasa nikuulize kwa nini ukale mke wa mwenzako kwamba yeye haumii au? Huyo mwanamke unavyolala nae unafikiri unatengeneza kitu gan hapo baadae ? Nyie ni waharibifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia upande wa mwanaume. Hilo swali lako majibu yanajulikanaHuyo mwanamke ni kwamba yeye ni mtoto mdogo hana maamuzi yake na hisia?
Au nyie kwenye mahusiano hamnaga akili ya maamuzi?
Huyo mke wa mtu ni mtu mzima au ni mtoto mdogo asiyejielewa?Ni risk sana huwa nashangaa hizo guts za kutoka na mke wa mtu unapataje, naona kila ukiwa naye utakua unahisi kama mume wake anakuona hivi, in short hautokua huru unaishi kwa machale. Mke na mume wa mtu ni sumu ibaki hivo.
Na wewe kwa nini utongoze mke wa mtu? Makosa ni ya wote wewe unaetongoza mwanamke ukijua kaolewa na huyo anaekukubalia akijua kaolewa.Huyo mke wa mtu ni mtu mzima au ni mtoto mdogo asiyejielewa?
Mfano wewe hapo ukifunga ndoa nikakutongoza ukakubali nikakutia, kosa langu Ni lipi hapo?
Huwa nawaza tu kitu kimoja. Kama ninamshika mke wangu na mwanaume mwingine, sina haja ya kugomnana na mwanaume huyo.Huyo mwanamke ni kwamba yeye ni mtoto mdogo hana maamuzi yake na hisia?
Au nyie kwenye mahusiano hamnaga akili ya maamuzi?
Huo ndio uhalisia wa tatizo.Huwa nawaza tu kitu kimoja. Kama ninamshika mke wangu na mwanaume mwingine, sina haja ya kugomnana na mwanaume huyo.
Adui yangu ni mke wangu kwa kuwa ni mtu mzima na anajua anachokifanya na anakifanya kwa sababu anazozijua yeye.
Hakuna haja ya kumwua mwanaume mwenzangu, nitapamabana na mkewangu. Naye sitapigana naye bali achukue hamsini right kutoka nilipomfumania kuelekea ama kwao ama kwa huyo jamaa yake.
Hatagusa nyumbani kwangu tena.
Na wewe kwa nini utongoze mke wa mtu? Makosa ni ya wote wewe unaetongoza mwanamke ukijua kaolewa na huyo anaekukubalia akijua kaolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kumilik hili Jimbo bas dadaHivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa🤔
Mgombea pekee, yaani utapita bila kupingwa kabisa 😀Nataka kumilik hili Jimbo bas dada
Kwahiyo wewe unayetongoza wake za watu ni mtoto? Je ukifumwa na mumewe utamwambia hiyo sababu kwamba yeye si mtoto mdogo? Wote hapo mtongozaji na huyo mke wa mtu mna makosa, ili kuwa salama ni wewe mtongozaji kuacha kutongoza wake za watu maana madhara yake utaonekana wewe ndiye umemfuata mkewe anayemhudumia.Huyo mke wa mtu ni mtu mzima au ni mtoto mdogo asiyejielewa?
Mfano wewe hapo ukifunga ndoa nikakutongoza ukakubali nikakutia, kosa langu Ni lipi hapo?
Aiseee! Kweli kazi ipo. Kama ndio michezo yako basi wewe endelea kula wake za watu kwa raha zako.Nkikutongoza una options mbili, ukikataa siwezi kukulazimisha nitaachana na na wewe na ntaendelea na mambo mengine.
Ukikubali, wewe mwenyewe utaniambia ni siku gani utakuwa free, utasafiri kuja sehemu nilipo, utavaa nguo nzuri za kuniteka kimahaba, nitakuvua nguo, ntachomeka mpini utaanza kukatika. Haya matendo yote hayafanywi na roboti, bali binadamu kamili mwenye akili yake timamu.
Sasa iweje nilaumiwe mimi eti nakosea kutoka na wewe eti kisa umeolewa? Kama umenikubali mimi ila nikakataa kutoka na wewe lazima utawapa wengine. Anayepaswa kuheshimu ndoa yake ni wewe siyo mimi na kama uheshimu ndoa yako iweje mimi niiheshimu?
Kwani kutongoza ni dhambi?Kwahiyo wewe unayetongoza wake za watu ni mtoto? Je ukifumwa na mumewe utamwambia hiyo sababu kwamba yeye si mtoto mdogo? Wote hapo mtongozaji na huyo mke wa mtu mna makosa, ili kuwa salama ni wewe mtongozaji kuacha kutongoza wake za watu maana madhara yake utaonekana wewe ndiye umemfuata mkewe anayemhudumia.
Mke wa mtu ana alama gani?Aiseee! Kweli kazi ipo. Kama ndio michezo yako basi wewe endelea kula wake za watu kwa raha zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasemea wale wanaume wanaotongoza wanawake wakijua fika huyu ni mke wa mtu.Mke wa mtu ana alama gani?
Wengine hata pete wanavua, sasa utamjuaje kama mke wa mtu.
Bikira pekee yake ndiye unaweza kuwa na uhakika ya kwamba siyo mke wa mtu.
Sawa mkuu, endelea kutongoza na kutoka na wake za watu na ukifumaniwa utatoa hizo sababu. WatakuelewaKwani kutongoza ni dhambi?
Kwani wewe kila ukitongozwa ni lazima ukubali?
Nikikutongoza nakushikia bastola ili ukubaki?
Hadi nakutongoza lazima kuna mazingira ya kujirahidisha umenitengenezea .
Haiwezekani mke wa mtu uvae nusu uchi utegemee sitakutongoza.
Haiwezekani kwenye mazungumzo uwe mwepesi kuzungumzia ngono alafu utegemee sitakutongoza.
Haiwezekani mke wa mtu ujibebishe alafu utegemee sitakutongoza.
Mwanamke ukitongozwa sana, ujue wewe ndiyo mwenye tatizo. Hao watongozaji unawaita mwenyewe au unawatengenezea mazingira ya kukutongoza.
Mwanamme anaitaji mazingira tuu ili kufanya ngono ila mwanamke anaitaji sababu ya kufanya ngono. Hakuna mwanamke anachepuka bila sababu.
Ukianza kuhara ulete mrejesho.Kuna mmoja nnpo nae huu kijiji najilia tu mumewe yupo Dar huko
Halina mbamba yaan jeupeee kama papai nalipelekea moto mpaka linakuwa jekundu maaanina
Mmewe kuja huku Kwa mwaka mara moja anakaa week 1 au siku 3 then ananichia kitumbua changu niendelee kujibandulia gogo
Mkienda mjin kutafta maisha nenden na wake zenu mnatuweka katika vishawishi huku
Kuwa makin mkuu kuna mwenzio alisema kama wewe akajichanganya akaenda kuloga. Tulimpa onyo tu mwezi akafikiri masihara. then action the rest ni historyMimi siku nikigundua mke wangu anacheat namuacha wife then jamaa namfungia kazi akibaki hai basi atakuwa kilema maisha yake yote
Mke anauma aisee me kicheche ila nishajiwekea sheria sijawah na sitowah kula mke wa mtu
Siyo mke wa mtu,mimi hata ile kujua tu alishamegwa na flani halafu na mimi niunge tela!Mimi kiukweli nina kinyaa kikali sana siwezi gonga mke wa mtu naona ni uchafu tu