Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Mm nakwepa vzr sabb najua...
love iz just like a war easy to start then difficult to end...

Alaf ukijielewa hauto taka kuchakata Kila mbususu inayo pita mbele yako....
 
Siendi na mwanamke faragha kizembe, nimejipanga kwa lolote.

Mzembe yeyote akijichanganya eti ananifumania namla za kichwa anatangulia mbele za haki naendelea kujipigia goma lake.
Labda nikukumbushe,
Nchi inaendeshwa Kwa katiba, Sheria,kanuni na taratibu zake.......

Otherwise ni kugawana majengo ya serikali.....

πŸ€“πŸ˜ŠπŸ˜ƒπŸ˜†
 
Labda nikukumbushe,
Nchi inaendeshwa Kwa katiba, Sheria,kanuni na taratibu zake.......

Otherwise ni kugawana majengo ya serikali.....

πŸ€“πŸ˜ŠπŸ˜ƒπŸ˜†
Kama kuna hatari mbele yako huruhusiwi kujihami?
Uchukue mke wa MTU alafu ufumaniwe ujihami....???
Labda uyeyuke au ugeuke mjusi,nzi,mbu au kokoto.....😊😊😊😊😊

Kwanini ushindwe kujihami?
 
Hivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwaπŸ€”
Heeee kumbe upo single........... hatuambiani kabisa yaani haaaaaaa........ nakuja huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…