Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Man, you are a good writer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Right on man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa baada ya kumchinja mke wake kipi kilifata?
Ni ujinga wa kiwango cha juu kumuua mtu au mke wako au yule uliyemfymania kisa wivu wa mapenzi.
 
Jamani Jamani ninao wawili wameniganda mwenzenu mwaka wa nne huu, na block lakini wapi namba mpya wanasajir,siwapi chcohote lkn wapi,nakosea mimi wanaomba msamaha wao,najisikia vibay sana ila wananifariji mno kuwa hamna baya litatokea,siku mkiona humu ndani kimya mjue nimetangulizwa mbele za haki.Kuanza ni rahisi mno kuacha ni shida.Najuta mimi Najuta mimi.Msinsahau kwenye maombi yenu.
 
Huyo jamaa baada ya kumchinja mke wake kipi kilifata?
Ni ujinga wa kiwango cha juu kumuua mtu au mke wako au yule uliyemfymania kisa wivu wa mapenzi.
Mwamba alitoroka na hawakumpata tena.. Nakumbuka walikuja askari wengi sana kuizunguka ile nyumba wakawabeba wapangaji wote tukabaki watoto ila walirudi asubuhi mother na mshua.. hiyo ilikuwa mwaka 1994. achana na wake za watu au mademu wa wawatu kama hutaki zahma kama hizi...
 
Kwa hiyo hakukamatwa hadi leo?
Sasa hapo faida yake ni nini unaua zen unakuwa mtu wa kuhama hama kama digidigi.
 
Mhhhh. Mbona kama kweli
 

Na ile familia yako uliyoiacha kule kwako kuna Jamaa anajipigia vilevile
 
Manka alikuwa ananikubali sana high school, sikuwahi kumwelewa.

Tukaja kukutana uraiani akiwa ameshaolewa (ndoa ya Kikatoliki kabisa) na wamepata watoto (mimi sijaoa).

Nilijitahidi sana kumkwepa, ila udhaifu ukanishinda. Ninamaliza kumla ndiyo akili inarudi. Akawa hadi anataka nimpe mimba, nikam-block. 😥

Ee Mungu nisamehe. 🙏
 
Huyo jamaa baada ya kumchinja mke wake kipi kilifata?
Ni ujinga wa kiwango cha juu kumuua mtu au mke wako au yule uliyemfymania kisa wivu wa mapenzi.
Ila ni ufahari kutembea na mke wa mtu wakati unajua ni mke wa mtu na ulikanywa kua uyo mke wa mtu na mwenye mke.
All the best
 
Mimi nlitembeaga na mke wa mwanajeshi.....mtoto mtam yule
Sasa siku moja mmewe na rafiki zake wakatufuma wakaniambia nichague KUFA AU KUBAKWA....NIKACHAGUA KUFA....WAKANIUA!!!
...wake za watu watamu....Ila siku ukikutwa mtamu unakuwa were..
Hahahahaha, manyoko kwahiyo ulifirwaaa khaaa

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa🤔
Nyinyi ambao hamjaolewa mbwembwe nyingi halafu wasumbufu. Unlike married ones.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…