Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Nilihamia katika mji wa watu nikiwa pekeyangu. Familia niliiacha nilikotoka.

Sababu za kuiacha familia huko ni mapambano ya maisha. Tulikuwa na kabiashara, isingewezekana kuhama nako harakaharaka kabla ya kujifunza mazingira mapya.

Kwa kuwa sikuwa ninapika, nilikuwa ninakula kwa mamantilie. Jirani na mamantilie palikuwa na kibanda cha mpesa. Mmiliki ni familia, mhudumu ni mama.

Nilikuwa na mazoea kwenda kupata huduma kutuma na kutoa.

Siku moja nilimkuta yule mama amekaa chini ndani. Nilipofika alijitahidi kuficha lakini niligundua kuwa alikuwa analia. Nilimwuliza kulikoni akajifanya kushangaa.

Mazoea ya kufika pale yaiendelea. Kuna siku nilimwomba namba ili nikitaka huduma niipate hata bila kufika. Alinipa japo kwa kusitasita.

Siku ya siku, nilimpigia. Alipokea, nikagundua sauti haiko sawa. Alikuwa akilia. Baada ya kupata huduma, nilijaribu kumbembeleza anambie ana tatizo gani. Alifunguka baada ya kama kumbembeleza mwezi mzima hivi.

Nilimpa concealing karibu mwezi kwa kuongea naye kwa vipindi tukiongea kwa kama dakika kumi hivi.

Alianza kunielewa na sasa yeye ndiye alikuwa anatuma text akinambia amepata amani na anasonga mbele na maisha yake. Mapenzi yake ameelekeza kwa watoto na mume si tatizo tena kwake.

Mumewe alikuwa anaweza aondoke nyumbani wiki zima anakaa kwa mwanamke mwingine katika mtaa huohuo.

Siku moja nikamwomba anisitiri nina ugwadu. Alinambia hayakuwa makubaliano yetu. Nilikubaliana naye. Nikamsisitiza kwa kumkumbusha mara kwa mara. Baada ya kama miezi 15 hivi aliingia king.

Kosa langu: nilimjali sana. Hakuna alichoomba nikamkatalia. Nilimpa hata asichoomba. Akazama na kuzama. Siri sirini.

Nina miaka mitatu sasa na mke wa mtu.

Ninafikiria kuacha kutokana na watoto wake ni wakubwa sasa, si vema wakagundua mama yao anachepuka. Pia mume wake ni kama ameanza kurejea ngamiani.
Man, you are a good writer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kutongoza ni dhambi?

Kwani wewe kila ukitongozwa ni lazima ukubali?

Nikikutongoza nakushikia bastola ili ukubaki?

Hadi nakutongoza lazima kuna mazingira ya kujirahidisha umenitengenezea .

Haiwezekani mke wa mtu uvae nusu uchi utegemee sitakutongoza.

Haiwezekani kwenye mazungumzo uwe mwepesi kuzungumzia ngono alafu utegemee sitakutongoza.

Haiwezekani mke wa mtu ujibebishe alafu utegemee sitakutongoza.

Mwanamke ukitongozwa sana, ujue wewe ndiyo mwenye tatizo. Hao watongozaji unawaita mwenyewe au unawatengenezea mazingira ya kukutongoza.

Mwanamme anaitaji mazingira tuu ili kufanya ngono ila mwanamke anaitaji sababu ya kufanya ngono. Hakuna mwanamke anachepuka bila sababu.
Right on man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipindi nipo mdogo tunakaa nyumba za kupanga kwa mara ya kwanza nashuhudia jamaa akimfumania mkewe na bahati mbaya mwanaume aliyekuwa naye alifanikiwa kukimbia mke alibaki aisee yule mume mtu alimtoa mkewe chumbani mpaka kwenye korido akamkamata shingo na kumchinja pale pale sitasahau lile tukio mpaka nakufa.. yaani toka wakati huo sikuwahi kumtongoza mwanamke wa wawatu hata unishikie bastola sitajihusisha naye.. ni tukio baya nililowahi kulishuhudia kwa macho yangu ... kijana/vijana acheni hiyo michezo kabisaaa.
Huyo jamaa baada ya kumchinja mke wake kipi kilifata?
Ni ujinga wa kiwango cha juu kumuua mtu au mke wako au yule uliyemfymania kisa wivu wa mapenzi.
 
Jamani Jamani ninao wawili wameniganda mwenzenu mwaka wa nne huu, na block lakini wapi namba mpya wanasajir,siwapi chcohote lkn wapi,nakosea mimi wanaomba msamaha wao,najisikia vibay sana ila wananifariji mno kuwa hamna baya litatokea,siku mkiona humu ndani kimya mjue nimetangulizwa mbele za haki.Kuanza ni rahisi mno kuacha ni shida.Najuta mimi Najuta mimi.Msinsahau kwenye maombi yenu.
 
Huyo jamaa baada ya kumchinja mke wake kipi kilifata?
Ni ujinga wa kiwango cha juu kumuua mtu au mke wako au yule uliyemfymania kisa wivu wa mapenzi.
Mwamba alitoroka na hawakumpata tena.. Nakumbuka walikuja askari wengi sana kuizunguka ile nyumba wakawabeba wapangaji wote tukabaki watoto ila walirudi asubuhi mother na mshua.. hiyo ilikuwa mwaka 1994. achana na wake za watu au mademu wa wawatu kama hutaki zahma kama hizi...
 
Kwa hiyo hakukamatwa hadi leo?
Sasa hapo faida yake ni nini unaua zen unakuwa mtu wa kuhama hama kama digidigi.
 
I hope ulikuwa unavaa kinga maana wake za watu bwana si salama kwa walio wengi. Unakuta mwanamme yuko bize kula machangu huko mitaani na kujizolea maradhi kisha anakuja nyumbani na kumgawia mkewe haswa hawa jamaa wanaojifanya wapenda dini. Unakuta wengi wao wanakulana wenyewe kwa wenyewe aidha kwa waimba kwaya au hawa wanaosali kwenye jumuiya. Utakuta wengi wao ni mafuska au waathirika wamejikita kwenye dini kuficha uozo wao. Kajipime haraka san kijana.
Mhhhh. Mbona kama kweli
 
Nilihamia katika mji wa watu nikiwa pekeyangu. Familia niliiacha nilikotoka.

Sababu za kuiacha familia huko ni mapambano ya maisha. Tulikuwa na kabiashara, isingewezekana kuhama nako harakaharaka kabla ya kujifunza mazingira mapya.

Kwa kuwa sikuwa ninapika, nilikuwa ninakula kwa mamantilie. Jirani na mamantilie palikuwa na kibanda cha mpesa. Mmiliki ni familia, mhudumu ni mama.

Nilikuwa na mazoea kwenda kupata huduma kutuma na kutoa.

Siku moja nilimkuta yule mama amekaa chini ndani. Nilipofika alijitahidi kuficha lakini niligundua kuwa alikuwa analia. Nilimwuliza kulikoni akajifanya kushangaa.

Mazoea ya kufika pale yaiendelea. Kuna siku nilimwomba namba ili nikitaka huduma niipate hata bila kufika. Alinipa japo kwa kusitasita.

Siku ya siku, nilimpigia. Alipokea, nikagundua sauti haiko sawa. Alikuwa akilia. Baada ya kupata huduma, nilijaribu kumbembeleza anambie ana tatizo gani. Alifunguka baada ya kama kumbembeleza mwezi mzima hivi.

Nilimpa concealing karibu mwezi kwa kuongea naye kwa vipindi tukiongea kwa kama dakika kumi hivi.

Alianza kunielewa na sasa yeye ndiye alikuwa anatuma text akinambia amepata amani na anasonga mbele na maisha yake. Mapenzi yake ameelekeza kwa watoto na mume si tatizo tena kwake.

Mumewe alikuwa anaweza aondoke nyumbani wiki zima anakaa kwa mwanamke mwingine katika mtaa huohuo.

Siku moja nikamwomba anisitiri nina ugwadu. Alinambia hayakuwa makubaliano yetu. Nilikubaliana naye. Nikamsisitiza kwa kumkumbusha mara kwa mara. Baada ya kama miezi 15 hivi aliingia king.

Kosa langu: nilimjali sana. Hakuna alichoomba nikamkatalia. Nilimpa hata asichoomba. Akazama na kuzama. Siri sirini.

Nina miaka mitatu sasa na mke wa mtu.

Ninafikiria kuacha kutokana na watoto wake ni wakubwa sasa, si vema wakagundua mama yao anachepuka. Pia mume wake ni kama ameanza kurejea ngamiani.

Na ile familia yako uliyoiacha kule kwako kuna Jamaa anajipigia vilevile
 
Manka alikuwa ananikubali sana high school, sikuwahi kumwelewa.

Tukaja kukutana uraiani akiwa ameshaolewa (ndoa ya Kikatoliki kabisa) na wamepata watoto (mimi sijaoa).

Nilijitahidi sana kumkwepa, ila udhaifu ukanishinda. Ninamaliza kumla ndiyo akili inarudi. Akawa hadi anataka nimpe mimba, nikam-block. 😥

Ee Mungu nisamehe. 🙏
 
Mimi nlitembeaga na mke wa mwanajeshi.....mtoto mtam yule
Sasa siku moja mmewe na rafiki zake wakatufuma wakaniambia nichague KUFA AU KUBAKWA....NIKACHAGUA KUFA....WAKANIUA!!!
...wake za watu watamu....Ila siku ukikutwa mtamu unakuwa were..
Hahahahaha, manyoko kwahiyo ulifirwaaa khaaa

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa🤔
Nyinyi ambao hamjaolewa mbwembwe nyingi halafu wasumbufu. Unlike married ones.
 
Back
Top Bottom