Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Wanaotembea na wake za watu hawana kinyaa....
 
We jamaa ka mie yani kama demu nikishajua bwana ake nakaa nae mbali kbs hata ka sio mumewe mke wa mtu ndio kabisa siwekagi namba zao....


Kutembea na mje wa mtu kwa kweli sio ujanja...
 
We jamaa ka mie yani kama demu nikishajua bwana ake nakaa nae mbali kbs hata ka sio mumewe mke wa mtu ndio kabisa siwekagi namba zao....


Kutembea na mje wa mtu kwa kweli sio ujanja...
Ni ushamba na ujinga kwa mwanaume anaejielewa na ikitokea bahati mbaya au kwa kutokujua haitakiwi kutangaza.

Hawa ndo huwa wanauawa, wanadhani kuchapiwa ni kila mtu anaweza kuvumilia. Ndo hawa wakikatwa mapanga ndgu wanaomba serikali iwasaidie wakati upumbavu wa ndgu yao kujitangaza ili apate sifa za kijinga.
 
I hope ulikuwa unavaa kinga maana wake za watu bwana si salama kwa walio wengi. Unakuta mwanamme yuko bize kula machangu huko mitaani na kujizolea maradhi kisha anakuja nyumbani na kumgawia mkewe haswa hawa jamaa wanaojifanya wapenda dini. Unakuta wengi wao wanakulana wenyewe kwa wenyewe aidha kwa waimba kwaya au hawa wanaosali kwenye jumuiya. Utakuta wengi wao ni mafuska au waathirika wamejikita kwenye dini kuficha uozo wao. Kajipime haraka san kijana.
 
Ilikuwaje kuwaje mnafanya....nani alianza.. simulia scenario ndo tutakas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…