Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Wanaotembea na wake za watu hawana kinyaa....Sijawahi kutongoza mwanamke yeyote ninaemjua bwana wake, pia sijawahi kumtongoza mwanamke ninaetambua kabisa ni mke wa mtu.
Wanawake wasimbe wapo wengi sana, lakini kwanini ufanye mapenzi na mtu unaetambua kabisa ni mke wa mtu na kila mara anatoka kwa mwanamme kama wewe kipindi anakuja kwako?
Inafikirisha sana.