Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Inshu za kuzaliana huwa zinaniboa sanA,mkulane tu inatosha
 
Kuna time huwa hamsemi kama ni wake za watu mimi kuna mtu nimejua juz kuwa ni mke wa mtu nimefumua sana jamaake alikuwa south kusoma karudi ndio anasema ye mke wa mtu
Mmh kwa mdada mbona ni rahisi sana kujulikana kama ni mke wa mtu or not, usihisi hata kama kuna limitations anakupa mfano muda wa kuwasiliana na wewe, utakapomuhitaji, yaani usihisi kabisa ? Kwa hiyo case yako labda kwa sababu alikua mbali, ila hawa ambao wanaishi na waume zao hapa hapa mmh
 
Kwa hiyo ukiamua kuwa na mmoja ni mmoja tu? [emoji848]

Wenzako hawawezi wanakuwa na tamaa tunashare sana mbususu zao na mabwana zao kwa siri
Sina siri, nitakamatwa tu. Alafu kuwa na wapenzi wengi naona ni kujihangaisha tu mtu uanze kuishi kwa kujificha yote hayo ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa[emoji848]
Unajua Madam muda mwingine vijana wanaona bora watoke na mke wa mtu wanaweza kuwa salama zaidi kuliko kutoka na single ambaye anamsururu wa wanaume zaidi ya watano na wote wanachakata mbususu moja. Mke wa mtu anaaminika anachakatwa na mumewe tu ambaye anajulikana sasa single ni mtihani.
 
Wanakua na uhakika gani kama huyo mke wa mtu katulia na mumewe tu? Kuna wake za watu ni nuksi kuliko hata hao wasioolewa. Shauri zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo si GENTAMYCINE huyo au ni nani mwingine πŸ€”
 
Dah! Mimi nikigundua mke wangu anatchepuka, hata kama nitamsamehe ila kumpanda tena nitapata ugumu sana kushea is a problem to me. Na bibilia inasema lile usilopenda kutendewa na wewe usitende Kwa mwingine hivyo najichunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…