Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Manka alikuwa ananikubali sana high school, sikuwahi kumwelewa.

Tukaja kukutana uraiani akiwa ameshaolewa (ndoa ya Kikatoliki kabisa) na wamepata watoto (mimi sijaoa).

Nilijitahidi sana kumkwepa, ila udhaifu ukanishinda. Ninamaliza kumla ndiyo akili inarudi. Akawa hadi anataka nimpe mimba, nikam-block. 😥

Ee Mungu nisamehe. 🙏
Hahaha
 
Hakuna wanawake ninaowachukia kama hao walioolewa halafu wanagawa, ni zaidi ya mbwa

Nimeishawakataa 4 na sina mda nao kabisa wanasema what goes around comes around

Siwezi kuwa msaliti hata siku moja
Vijana ogopeni sana dhambi na kama hamuamini Mungu, basi msiwape ushirikiano wake za watu hawafai
Kama wanasaliti ndoa zao huoni na wewe utakuja kuchapiwa pia?
Je utajisikiaje?
Hata usipochapa, utachapiwa tu.
 
Dah!,
Kuna sehemu nilikuwa nimepanga kuna huyo mke wa mtu tulikuwa na yale mazoea ya kuheshimiana tu km mtu na dada yake. Kuna kipindi nikawa nimehama hiyo sehemu yaani nilihamia sehemu nyingine, sikujua kuwa yule mdada alikuwa ananielewa ila kunianza ndo ikawa shida kwake.
Siku moja kanipigia simu kuwa kuna sehemu anatoka hivyo atapita kwangu kunijulia hali na kupafahamu, nilimkubalia km dada yangu. Ile kaingia ndani tu mara oooh! chumba kizuri na blah blah kibao, kidume sikuchelewa nikampa haki yake na ndo ukawa mwanzo wa penzi lililokolea na huyu binti(mama wawili).
Kuna muda nikikaa naye huwa namwambia tusitishe huu mchezo lkn alishaapa siku nikijaribu kumuacha ataniroga hata km hajui kuroga....
Alikuwa mzuri!?
 
Mimi ilikuwa hivi,

Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu.

Baadaye nilipata mchongo mkoa ikabidi nihame mawasiliano yakaanza kupungua siku hadi siku si unajua tena fimbo ya mbali haiui nyoka 🤣🤣.
Katika vitu mwenyezi Mungu alikataza na kuandika kwa mkono wake bila kiagiza mwanadamu aandike ni pamoja na marufuku ya kukaza wake za wanaume wenzenu

Kutoka 20:17
Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako. Kutoka 20:17
 
Mimi ilikuwa hivi,

Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu.

Baadaye nilipata mchongo mkoa ikabidi nihame mawasiliano yakaanza kupungua siku hadi siku si unajua tena fimbo ya mbali haiui nyoka 🤣🤣.
Kama mwanamke alikuvutia ukamuoa lazima awavutie wengine na hakuna mwanamke asiyetongozws, ila sio lazima akubali. Naamini waaminifu wachache bado wapo.
 
Kama
Mke wa mtu sumu hii kauli Haina nguvu now days[emoji2

Hadi umri huu nashukuru sijawahi tembea na mke wa mtu hata kujaribu kumtongoza Huwa ni kitu nakikwepa sana.
Ukiwa na tabia ya kutongoza wake wa watu, unaweza kufa hata bila kutembea/kuzini nao. Iko hivi. Unamtongoza mke wa mtu,kumbe hakupendi na hapendi umalaya. Akitoka hapo anaenda kumwambia mmewe, fulani ananisumbua. Mume anachukulia serious. Anakumaliza kimya kimya. Ni hatari
 
Nilienda kijiji kkimoja kilwa kununua ufuta mwaka jana sasa nikawa nimepanga chumba na ukumbi ila mzee mwenye nyumba ana wanawake wawili mmoja anakaa pale nilipopanga na mwingine anakaa kijiji kingine sasa huyo mama kiumri ni kama miaka 55 hivi halafu hajazaa maisha yake yote halafu anaonekana mbichi sana yaani,basi nikienda mjini nambebea zawadi akawa anafurahi na pale hom huduma zote ziĺikuwa chini yangu siku moja tunapiga stori akawa ananishangaa kuwa hajawahi kuona hata siku moja naleta demu ndani na hajasikia kashfa mtaani kama walivyo wanunuaji ufuta wengine nikamwambia nikweli navumilia tu japo nina ugwadu balaa akaniuliza kweli? Nikamjibu ndio.... stori isiwe ndefu yule mzee akitoka kwenda kwa mke mwingine mimi nalala na mkewe huku nyuma kiukweli nilimfaidi sana yule mama ila majirani wambeya balaa sijui walijuaje kama namla
Story haijaisha, ikawaje
 
Niliendelea tu mpaka msimu ulivyoisha kuna kitu kikinipa nguvu kidogo ni kwamba ile nyumba mzee sio yakwake ni ya yule mke ndio maana sikuogopa sana yule mama alikuwa ananiambia hakuna chakutufanya yule mzee,halafu pia kule umwerani wanatuogopa mno wamakonde na wiki 2 zijazo naenda tena msimu umeanza na nitafikia nyumba ile ile
Chai ya mchana
 
Mapenzi ya kuiba huwaga matamu bao 1 unaweza ukamwaga na ubongo aisee
 
Chai ya mchana
Ndugu yangu sipati faida yeyote nikidanganya,Kwa wanunuaji wa nafaka vijijini hilo ni suala la kawaida sana kwasababu tunaenda na pesa kwahiyo tunapopanga nyumba ya kuishi ambapo mara nyingi wenye nyumba nao wanaishi humohumo ....huwa tunanunua mahitaji yote muhimu tunayaweka ndani na kumkabidhi mama mwenye nyumba ili awe anapika ili ukirudi kwenye mizinguko usipate tabu ya kupika
 
Chai ya mchana
Sasa hebu nikupe kisa niliwahi kwenda kijiji kimoja wanaita Makangaga nilienda kununua kunde na karanga nilipofika hapo kijijini nilinunua mzigo mkubwa sana na hapo niliwachapa mademu 5 na hao wote hakuna hata niliekamtongoza ni wao waliokijileta akiwemo na mwalimu wa shule ya msingi nae nilimla mno binti wa kihaya yule....
 
Katika vitu mwenyezi Mungu alikataza na kuandika kwa mkono wake bila kiagiza mwanadamu aandike ni pamoja na marufuku ya kukaza wake za wanaume wenzenu

Kutoka 20:17
Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako. Kutoka 20:17

Hebu cheki na WAROMA 7:1-15 inasemaje kiongozi
 
Napitatu ntarudi baadaeeee

Adam naomba wimboo wa

Kamaaandqaaaaaaa ....
 
Sikia kwa mwenzio tu ndugu
Sitaki kukumbuka sio mm
Alikamatwa jamaa na mke wa mtu sinza
Yaan mwanaume akakimbilia chumba cha pekeyake empty ...jamaa wakamchukuq mwanamke kila anaetoka getini wanauliza huyu huyu anapigwa mpaka akataja tukakimbia mita 300
 
Sikutaka hata kujua kikichotokea wala kurudi tena ileeneo
 
Hawa wake za watu sio siri matumizi ya kinga hawajali kabisa, na wengi wao ni waathirika trust me guys ukijaribu tu uneisha.
 
Back
Top Bottom