PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaManka alikuwa ananikubali sana high school, sikuwahi kumwelewa.
Tukaja kukutana uraiani akiwa ameshaolewa (ndoa ya Kikatoliki kabisa) na wamepata watoto (mimi sijaoa).
Nilijitahidi sana kumkwepa, ila udhaifu ukanishinda. Ninamaliza kumla ndiyo akili inarudi. Akawa hadi anataka nimpe mimba, nikam-block. 😥
Ee Mungu nisamehe. 🙏