Enthusiastic
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 407
- 831
Mbona hapo jibu ni rahisi tu? Ungewajibu hivi: "mama yenu ni mke wangu"Nina vijana wawili 4yrs na 6yrs,na dada Yao 12yrs.
Hawa wakiume waliniuliza baba kwann wewe unalala na mama wakati wewe ni mwanamme,utalalaje na mwanamke?
Tunaona Mama alale na dada,wewe ulale na sisi chumbani kwetu.
Hadi kesho sijawajibu Huwa nawapotezea nawao lazma waulize Kila ninapowaaga wakalale,sahv muda wa kulala nawachenga