Hahahaha 😂😂Mkuu watoto wa 2000 wanasema lipia tangazo.
😂😂😂😂 Hapo lazima tu akili iegemeee upande mmoja.......Sometimes nachanganya na pombe ya champumu 😂😂
Hakika mkuu japokuwa haipendezi kimaadili😂😂😂😂 Hapo lazima tu akili iegemeee upande mmoja.......
Hakika mkuu japokuwa haipendezi kimaadili
😂😂😂,,Baridi nimeshaota sugu😂Sasa mama mkubwa kwanini unalala peke yako na baridi hii?
Njoo tuyajenge ma mkubwaSina mtoto,mtoto wa mdogo wangu aliniuliza,ma mkubwa unalala na nani? Unalala peke Yako au na nani??
Nikamwambia nalala peke yangu,,
Kuna mtoto wa sister yangu yuko around 6 yrs, tulikua tunapiga story then akasema "Mama akizaa mdogo wangu nitakua nambeba muda wote" nikamjibu kama jokes 'Mama yako hawezi kuzaa' kakauliza "Kwanini?" Nikajibu 'Kwasababu zile biscuit mtu anakula zinaingia tumboni mtoto akue siku hizi hazipo' alinijibu "Baba anazo huwa unampa"
Niliwaza kuwajibu hivi,ahsante umekazia wazo langu,nitamwambia hivyo Leo km watauliza.4 kwa 6 years unashindwa kuwajibu hilo swali!
Waambie kwa sababu mama yenu ni mke wangu na mimi ni mume wake, ndio maana tunalala pamoja, halafu unamsindikiza mkeo na busu zito ili wajue kweli mnamaanisha
Tatizo lilikua nijibu Nini ambacho ni sahihi zaidi kwao.kupitia huu Uzi naiman nitapata jibu kamili lakuwapatia vijana wanguWajibu....wakija kupata majibu kutoka kwa watu baki watakosa trust...
Hii ni moja ya sababu kwanini watoto wanawaamini walimu kutuzidi....
Ni kwasababu muda mwingi hatuyajibu maswali yao au tukiyajibu tunatoa majibu ya kisiasa. Wakija kugundua ukweli basi trust inapotea.