Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

Tatizo lilikua nijibu Nini ambacho ni sahihi zaidi kwao.kupitia huu Uzi naiman nitapata jibu kamili lakuwapatia vijana wangu
Nadhani kuna member kule juu Katoa jibu.

Mama yenu ni mke wangu na mimi ni mme wake.

Mke na mme wanalala chumba kimoja kwasababu wameoana na kupendana.
 
Haraka haraka wanao hawana malezi ya kiafrika,una malezi ya kizungu hongera sana pia pole
Ahsante sana,nasubiri majibu humu niweze kuwajibu bila kukosea ila Nawalea kawaida sn cyo wakishua kivile,cjui kwann umewaza nawalea kizungu
 
Nilimjibu nimeagiza, ila huwa linachukua miaka minne kufika kutoka huko nilikoagiza, nikiwa najua baada ya huo umri atakuwa amemaliza shule.
Oouh.....
Bila shaka sasa anajikalia mwenyewe na kujisemea hapa nilichezewa akili.
 
Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana.

Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje?

Wataalam wanakuambia mtoto anapouliza swali usili-dismiss swali unatakiwa kumjibu. Tunapoyapotezea maswali yao kwa kudhani tunaogopa kuwafunza yawakubwa hapa ndipo tunapowateza.
"... baba acha kumfanya mama analia usiku wa manane..."
😜😜😜
 
Mimi wangu alimuuliza mama hiki nini mbona kama.cha baba(uboo)

Mama yake akamjibu ni lidudu hilo. Basi siku moja nimevaa bukta kubwaaa mkuyenge ukasoma akasema baba piga hilo lidudu nikauliza like wapi?
Akasema lile lile pale baba......Halafu mbele ya wife na shemeji zangu wa kike na dogo wa kiume
 
Wangu siku moja nimekaa jikoni napika,ananiuliza mama shetani anaumia ee? Nikamwambia kwann akasema si hii nyumba yote imemkandamza si ulisema shetani anakaa chini.Ilibidi Tu niseme ndiyo.
 
Haijawahi tokea mkuu, tena sijawahi kukosa kujibu swali hata kwa watoto wakubwa hadi mama yao.
Na kama swali ni gumu hua nazuga kidogo then natafuta jibu na ndani ya muda mfupi.
 
Nilikuwa na ukawaida nikifik pale mgahawani nakachekesha na sometimes nampa kijihela kdg ya biskuti katoto ka mama ntilie ambach almost kalikuw na rang kati ya 3-4 years.
Basi hiyo siku si nikakapa hela nikamwambie ampe mama yake waende kukanunua katoto. Nilishangazwa sana na jibu lake ile siku😃😃
Kakanijub watoto hawanunuliwi, ikabidi nikadodose kwa kukauliz kwamba inakuaj hawanunuliw akat nae alinunuliwa dukan.?
Kikanijibu wanazaliwa😆. Ikabidi nimwambie mamayake kama alikaambia katoto kake kuwa watoto hawanunuliw//^
 
Mtoto wangu wa kike aliniingia chumbani kwetu kimya kimya akanikuta Niko uchi akaona muhogo wangu wenye urefu na unene usio na mfano akaukodolea macho na kusema kwa nini yeye hana uume na Mimi ninao?

Nikamwambia hii ni fimbo ya kuwachapia akina BICHWA KOMWE -
Daaah🤣🤣 Kwa iyo bichwa komwe amekula fimbo sana ??
 
Mi nilimuuliza mama kwani hii hoteli ni ya Mkapa? Mkapa alikuwa Rais kipindi hiko. Sikuwa mdogo sana, exposer ilikuwa 0 😀

Kukulia sehemu ambapo hakuna matajiri will humble you, mi nilikuwa nafikiri vitu vyote vikubwa vikubwa ni ama vya serikali au vya Rais.
 
Mi nilimuuliza mama kwani hii hoteli ni ya Mkapa? Mkapa alikuwa Rais kipindi hiko. Sikuwa mdogo sana, exposer ilikuwa 0 😀

Kukulia sehemu ambapo hakuna matajiri will humble you, mi nilikuwa nafikiri vitu vyote vikubwa vikubwa ni ama vya serikali au vya Rais.
Na ndicho kinachoendelea sasa hata kwa vijana wakubwa..... kila hotel, filling station, biashara kubwa....

Ni ya mtoto wa fisadi.....
 
Back
Top Bottom