Enthusiastic
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 407
- 831
Mbona hapo jibu ni rahisi tu? Ungewajibu hivi: "mama yenu ni mke wangu"Nina vijana wawili 4yrs na 6yrs,na dada Yao 12yrs.
Hawa wakiume waliniuliza baba kwann wewe unalala na mama wakati wewe ni mwanamme,utalalaje na mwanamke?
Tunaona Mama alale na dada,wewe ulale na sisi chumbani kwetu.
Hadi kesho sijawajibu Huwa nawapotezea nawao lazma waulize Kila ninapowaaga wakalale,sahv muda wa kulala nawachenga
4 kwa 6 years unashindwa kuwajibu hilo swali!Nina vijana wawili 4yrs na 6yrs,na dada Yao 12yrs.
Hawa wakiume waliniuliza baba kwann wewe unalala na mama wakati wewe ni mwanamme,utalalaje na mwanamke?
Tunaona Mama alale na dada,wewe ulale na sisi chumbani kwetu.
Hadi kesho sijawajibu Huwa nawapotezea nawao lazma waulize Kila ninapowaaga wakalale,sahv muda wa kulala nawachenga
Mimi sijawahi kuulizwa swali.....Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana.
Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje?
Wataalam wanakuambia mtoto anapouliza swali usili-dismiss swali unatakiwa kumjibu. Tunapoyapotezea maswali yao kwa kudhani tunaogopa kuwafunza yawakubwa hapa ndipo tunapowateza.
Kwa watoto wa kizazi hiki au kizazi gani???4 kwa 6 years unashindwa kuwajibu hilo swali!
Waambie kwa sababu mama yenu ni mke wangu na mimi ni mume wake, ndio maana tunalala pamoja, halafu unamsindikiza mkeo na busu zito ili wajue kweli mnamaanisha
ππππ Ni matumizi ya bangi peke yake au Kuna chengine unatumiaga???Mtoto wangu wa kike aliniingia chumbani kwetu kimya kimya akanikuta Niko uchi akaona muhogo wangu wenye urefu na unene usio na mfano akaukodolea macho na kusema kwa nini yeye hana uume na Mimi ninao?
Nikamwambia hii ni fimbo ya kuwachapia akina BICHWA KOMWE -
Ndio kwanza hauko seriously na maisha afu pia ni jokesInaonyesha mimi mtu wa aina gani?
Hebu rejelea vizur ulicho andika hapo.......Mtoto anaingiaje huko tumboni.
Nikaanza chai za ooh namuomba Mungu naona anakomaa tu unamuombaje na Mungu hao watoto anawaweka wapi. Nikaona chai haina sukari hii.....
Nikamjibu ukikua utajua...
Wangu hakusubiri kukua....nadhani alipata jibu youtube.Mtoto anaingiaje huko tumboni.
Nikaanza chai za ooh namuomba Mungu naona anakomaa tu unamuombaje na Mungu hao watoto anawaweka wapi. Nikaona chai haina sukari hii.....
Nikamjibu ukikua utajua...
Sometimes nachanganya na pombe ya champumu ππππππ Ni matumizi ya bangi peke yake au Kuna chengine unatumiaga???
Nadhani watoto huwa wanazaliwa sober....wakikua wakakutana na pombe za kimazingira na similar basi nao taratibu wanaanza kulewa kama sisi.Binti yangu wa miaka 7 ameniuliza juzi mama unasema mimi kabila langu mchaga na baba yangu pia ni mchaga nikamwambia ndio, akasema wewe umesema kabila lako ni mbena kwanini wakati wewe ndio umenizaa ikabidi nianze kumuelekeza kwamba mtoto akizaliwa jina la ukoo, kabila na dini anafwata kwa baba yake na sio mama kwa sababu amezaliwa na sisi wote wawili.
Nadhani bado hajaridhika na jibu maana haelewi kwanini afwate kila kitu kwa baba na asifwate kwa mama wakati wote wazazi wake.
Kinachomchanganya zaidi baba yake wazazi wake wote wachaga na mimi wazazi wangu wote wabena haelewi combo yake imekuwaje ππππ
Mkuu watoto wa 2000 wanasema lipia tangazo.Mtoto wangu wa kike aliniingia chumbani kwetu kimya kimya akanikuta Niko uchi akaona muhogo wangu wenye urefu na unene usio na mfano akaukodolea macho na kusema kwa nini yeye hana uume na Mimi ninao?
Nikamwambia hii ni fimbo ya kuwachapia akina BICHWA KOMWE -