Nadhani kuna member kule juu Katoa jibu.Tatizo lilikua nijibu Nini ambacho ni sahihi zaidi kwao.kupitia huu Uzi naiman nitapata jibu kamili lakuwapatia vijana wangu
Ahsante sana,nasubiri majibu humu niweze kuwajibu bila kukosea ila Nawalea kawaida sn cyo wakishua kivile,cjui kwann umewaza nawalea kizunguHaraka haraka wanao hawana malezi ya kiafrika,una malezi ya kizungu hongera sana pia pole
Nilimjibu nimeagiza, ila huwa linachukua miaka minne kufika kutoka huko nilikoagiza, nikiwa najua baada ya huo umri atakuwa amemaliza shule.Daamn...was too deep.
Ulimjibuje?
"... baba acha kumfanya mama analia usiku wa manane..."Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana.
Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje?
Wataalam wanakuambia mtoto anapouliza swali usili-dismiss swali unatakiwa kumjibu. Tunapoyapotezea maswali yao kwa kudhani tunaogopa kuwafunza yawakubwa hapa ndipo tunapowateza.
UlimjibujeBaba, octoba unatiki?
Daaah🤣🤣 Kwa iyo bichwa komwe amekula fimbo sana ??Mtoto wangu wa kike aliniingia chumbani kwetu kimya kimya akanikuta Niko uchi akaona muhogo wangu wenye urefu na unene usio na mfano akaukodolea macho na kusema kwa nini yeye hana uume na Mimi ninao?
Nikamwambia hii ni fimbo ya kuwachapia akina BICHWA KOMWE -
Na ndicho kinachoendelea sasa hata kwa vijana wakubwa..... kila hotel, filling station, biashara kubwa....Mi nilimuuliza mama kwani hii hoteli ni ya Mkapa? Mkapa alikuwa Rais kipindi hiko. Sikuwa mdogo sana, exposer ilikuwa 0 😀
Kukulia sehemu ambapo hakuna matajiri will humble you, mi nilikuwa nafikiri vitu vyote vikubwa vikubwa ni ama vya serikali au vya Rais.
Nilikuwa mbele ya muda 🤣Na ndicho kinachoendelea sasa hata kwa vijana wakubwa..... kila hotel, filling station, biashara kubwa....
Ni ya mtoto wa fisadi.....