Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

vlg.jpg
 
ugali dagaa ulivyomtam, nimewazia hapa upate wale wa mwanza wa mafuta wakolee nyanya na kalimao kwa mbaali ugali wangu lazima nivue dera nivae tenge la kifua uniingie mpaka rohoni huyo hayajamkanda maisha
 
kwani mpaka ushikiwe mtutu basi unaachwa tu na njaa yako inene nawewe kwa lugha!..

kama mtu chakula hakimletei shida yoyote kiafya akiacha kula na hakuna option nyengine hiyo ni shauli yake kwa tumbo lake.. binafsi nilikuwa sipendi njugu mawe! home sasa ambavyo walikuwa wanapenda sifa kila wiki watazipika,njaa nayo inajipika mbona nilikuwa nakula..!!

kuna yale majani ya kunde siyapendi bora hata njugu mawe!, vitu vyengine sijui nani aligundua viwe chakula, mtakujaga kutuua...🤣
Si Bora aliyegundua majani ya kunde....aliyegundua mchunga alikuwa anatafuta nini mara nyanya chungu.....Kabichi sijui alikuwa anataka kugundua nini mara sukuma wiki ...kwanza alianzaje kuona hii mboga ni ya kusukumia wiki ... daaah
 
Back
Top Bottom