Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

Si Bora aliyegundua majani ya kunde....aliyegundua mchunga alikuwa anatafuta nini mara nyanya chungu.....Kabichi sijui alikuwa anataka kugundua nini mara sukuma wiki ...kwanza alianzaje kuona hii mboga ni ya kusukumia wiki ... daaah
Kiboko mchunga,mimi nilikuja kujua unaliwa huku dar,wakati sisi tulikuwa tunajua ni maalum kwa ajili ya sungura
 
Haloo
Haileweshi?
Dah! Nahisi hii ishu imechngia sana mimi kuwa mkimya na wakujitenga sana,maana kwa sasa akili inaniambia nikijichanganya kuwatumia kilevi nitakuwa chizi ama zaidi ya mnyama,kipindi kile nilikuwa mdogo sana hata nilikuwa sielewi maana y kulewa ni nini
 
Kuna usenge wa hawa wanawake wa aina hii nashangaa sana

Wakiwa kwa wazazi wao masikini hawakuwa wabachagua vyakula

Na anakula mpaka analamba na sahani anakomaa na sufuria la ukoko wa wali akigombania na wadogo zake

Leo akiwa na simp anamletea pozi kwa kujifanya anachagua vyakula

Kama aliweza kuvumilia umasikini wa baba yake wa kula chochote kilichopikwa kwa miaka zaidi ya 20 analetaje nyodo kwa mwanaume?

Ukiona wewe mwanaume unafanya anachotaka basi ujue wewe ni simp na mpumbavu
 
Njaa ni best teacher..Mimi nilikuaga sili parachichi,matango, sikua nakula SENENE.

Ni Kama ukienda gerezani/ boarding school za SERIKALI na hukuwai kuishi hayo Maisha.

Niliendaga na kakikombe kadogo ka uji , siku ya mwanzo nilikuaga nagawa CHAKULA nikaambiwa huyu mgeni ngoja azoee Bagosha soon after Nika adopt.
Baadae ukaanza kufukia misosi, unakula kama nyangumi, maugali na michuzi yote unafukia kontena zima.
 
when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!! mkuu kilikupata nini mpaka ukaja na hii slogan
Hamna kilichonipata huo ushauti nilipewa na dingi kuhusu Hawa warembo.

"Huna mbele Wala nyuma kama mchezo wa sabuni" hii alinitamkia yule mwanamke shetani kabisa
 
ASaÀMtu pa kulala huna unachagua chakula🤣 una maisha gani??? Sema sishangai kuna watu wanajua kufake!!
Ila kuna siku atakuchoma kwa huyo mshkaji wakoÀ1
Mjinga yule alikuwa anafake tu.
Kunichoma hawezi maana alijileta
nazi labda wale dahlgaa nyama wale wakuchemsha wale wa mwanza sjawah kuwala wanazi
Uko sahihi,wa mwanza ukiwatia nazi umeharibu
 
Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu,sijui walizinguana nini,saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu yaani mpenzi wake na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu

Nikamwambia njoo ulale kwangu,usiku mrefu ndugu zanguni,nilikuwa naishi kighetogheto chumba kimoja ,itoshe kusema tukalala mzungu wa pili kufumba na kufumbua tuko tunaivunja amri ya sita kimasihara.,shetani mtu mbaya sana

Kesho yake ilikuwa weekend ,sie watu wa pwani tunajua kukirimu wageni,mjinga mimi nikanunua kilo ya nyama akasema hali nyama,ndani kulikuwa na kabeji akasema huwa hali kabeji,nikazunguka genge la jiranikuchukua dagaa akasema dagaa akila anasikia kichefuchefu,nikazunguka nyuma kuchuma matembele nayo hatumii,nyanya chungu na bamia pia hatumii,maarage akasema anasikia kiungulia,anataka samaki tu,
Ugali wa dona akasema hatumii pia.

nilimpuuza siku mbili mpaka alipoanza kula ugalii dagaa nikampa nauli arudi kwao

Nilishangaa jamaa aliwezake kuishi na huyu kiumbe kwa muda wote huo

Mimi bunafsi ni mtu ninayekula kila kitu kasoro sumu,nilikuwa njombe nikaletewa ugali na mboga inaitwa mkalifya ni chungu mithili ya shubiri ila ugali uliisha
kwahiyo ukamlamba bby wa rafiki yako?
 
Yupo sahihi kukataa baadhi ya vyakula.

Mimi huwezi kunilisha Choroko ,njugu mawe ,maboga ,magimbi au biliani NOPE...Nakula kama hakuna Options ila nitagusagusa tu tumbo lisiwe empty.
 
Kuna usenge wa hawa wanawake wa aina hii nashangaa sana

Wakiwa kwa wazazi wao masikini hawakuwa wabachagua vyakula

Na anakula mpaka analamba na sahani anakomaa na sufuria la ukoko wa wali akigombania na wadogo zake

Leo akiwa na simp anamletea pozi kwa kujifanya anachagua vyakula

Kama aliweza kuvumilia umasikini wa baba yake wa kula chochote kilichopikwa kwa miaka zaidi ya 20 analetaje nyodo kwa mwanaume?

Ukiona wewe mwanaume unafanya anachotaka basi ujue wewe ni simp na mpumbavu
Wajinga sana,dawa yao ndio hiyo kupika asivyokula hataki anunue kwa hela zake,njaa ikimkaba atakula tu
 
Yupo sahihi kukataa baadhi ya vyakula.

Mimi huwezi kunilisha Choroko ,njugu mawe ,maboga ,magimbi au biliani NOPE...Nakula kama hakuna Options ila nitagusagusa tu tumbo lisiwe empty.
Maboga,magimbi,biriani ni misosi mitamu sana kwangu
 
Back
Top Bottom