Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu,sijui walizinguana nini,saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu yaani mpenzi wake na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu

Nikamwambia njoo ulale kwangu,usiku mrefu ndugu zanguni,nilikuwa naishi kighetogheto chumba kimoja ,itoshe kusema tukalala mzungu wa pili kufumba na kufumbua tuko tunaivunja amri ya sita kimasihara.,shetani mtu mbaya sana

Kesho yake ilikuwa weekend ,sie watu wa pwani tunajua kukirimu wageni,mjinga mimi nikanunua kilo ya nyama akasema hali nyama,ndani kulikuwa na kabeji akasema huwa hali kabeji,nikazunguka genge la jiranikuchukua dagaa akasema dagaa akila anasikia kichefuchefu,nikazunguka nyuma kuchuma matembele nayo hatumii,nyanya chungu na bamia pia hatumii,maarage akasema anasikia kiungulia,anataka samaki tu,
Ugali wa dona akasema hatumii pia.

nilimpuuza siku mbili mpaka alipoanza kula ugalii dagaa nikampa nauli arudi kwao

Nilishangaa jamaa aliwezake kuishi na huyu kiumbe kwa muda wote huo

Mimi bunafsi ni mtu ninayekula kila kitu kasoro sumu,nilikuwa njombe nikaletewa ugali na mboga inaitwa mkalifya ni chungu mithili ya shubiri ila ugali uliisha
Nilini mutaacha kutuletea stori za kitoto za kutunga?
 
Mtu pa kulala huna unachagua chakula🤣 una maisha gani??? Sema sishangai kuna watu wanajua kufake!!
Ila kuna siku atakuchoma kwa huyo mshkaji wako
Mjinga yule alikuwa anafake tu.
Kunichoma hawezi maana alijileta
 
Mtu pa kulala huna unachagua chakula🤣 una maisha gani??? Sema sishangai kuna watu wanajua kufake!!
Ila kuna siku atakuchoma kwa huyo mshkaji wako
Mjinga yule alikuwa anafake tu.
Kunichoma hawezi maana alijileta
 
ugali dagaa ulivyomtam, nimewazia hapa upate wale wa mwanza wa mafuta wakolee nyanya na kalimao kwa mbaali ugali wangu lazima nivue dera nivae tenge la kifua uniingie mpaka rohoni huyo hayajamkanda maisha
Umesahau pilipili,ugali dagaa ni demu moja hv namkubali sana.
 
Dagaa wa kigoma now kilo moja sh elfu 20....

Zamani dagaa ndo ilikuwa chakula cha bei nafuu Sana .
Mkuu ni 40,000 juzi tu jumamosi nlipita Kkoo, nikaishia kusema kwanza Hawa huwa siwapendi nikachukua wa Mwanza 13,000 tu .

Nikawaza huu ndio mfano harisi wa maisha magumu, yaani Mwaka juzi dagaa wa Mwanza kila 6000, Bukoba 8,000 Hawa wakigoma ndio ilikuwa elfu kumi na.
 
Mimi yf hata walio aliopika mwenyewe usiku, kesho yake hali hata kwa dawa. Yan unaweza ikawa kilibak chakula hata chote ila kesho kikiamka maadam ni wali bas ujue hautaguswa , utapikwa mwigine.
 
Mimi kuna vyakula sili kwakweli hata kwa mtutu
Njaa ni best teacher..Mimi nilikuaga sili parachichi,matango, sikua nakula SENENE.

Ni Kama ukienda gerezani/ boarding school za SERIKALI na hukuwai kuishi hayo Maisha.

Niliendaga na kakikombe kadogo ka uji , siku ya mwanzo nilikuaga nagawa CHAKULA nikaambiwa huyu mgeni ngoja azoee Bagosha soon after Nika adopt.
 
Mimi bunafsi ni mtu ninayekula kila kitu kasoro sumu,nilikuwa njombe nikaletewa ugali na mboga inaitwa mkalifya ni chungu mithili ya shubiri ila ugali uliisha
 
Back
Top Bottom