Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ujue binaadam/watu tunatofautiana.Maboga,magimbi,biriani ni misosi mitamu sana kwangu


🤣 mbona hujakutana na shetani bado..!!Hamna kilichonipata huo ushauti nilipewa na dingi kuhusu Hawa warembo.
"Huna mbele Wala nyuma kama mchezo wa sabuni" hii alinitamkia yule mwanamke shetani kabisa
None of the above..........Naishi kaskazini ila mimi mkagulu.We mpare wewe au msambaa
Mimi sijawah kuubaliana na hii kitu, dada zangu hawana vitambi na tumelelewa maisha haya toka utotoni.Hahahaaaa wanasema wali uliolala unaleta kitambi.
Mimi sijawah kuubaliana na hii kitu, dada zangu hawana vitambi na tumelelewa maisha haya toka utotoni.
Na mimi huwa nawakomalia wanangu wasije kabisafuatisha hii tabia ya mama yao.
Ni bom kwel sio masiharaHilo ni bomu
Acha tu. Nisiseme sanaIla wanawake hajui kipimo cha chakula ,sasa kwanini apike wali mwingi na ubakie halafu hauli? Kwanini asipike wa kutosha kwa usiku tu au kubakisha kidogo kwa watakukula? Mimi mwenyewe sipendi kula chakula kilicholala napenda kula fresh kilichopikwa kwa siku hiyo.
Nilichogundua baadhi ya wanawake hawataki kupika pika uvivu so anapiga chakula kingi akitegemea wengine waje kula kesho yake yeye asijishughulishe.
Hao wengi wao hawajafikia level ya kujitafutia maisha,wakianza kujitegemea akili za budget zinakaa sawaIla wanawake hajui kipimo cha chakula ,sasa kwanini apike wali mwingi na ubakie halafu hauli? Kwanini asipike wa kutosha kwa usiku tu au kubakisha kidogo kwa watakukula? Mimi mwenyewe sipendi kula chakula kilicholala napenda kula fresh kilichopikwa kwa siku hiyo.
Nilichogundua baadhi ya wanawake hawataki kupika pika uvivu so anapiga chakula kingi akitegemea wengine waje kula kesho yake yeye asijishughulishe.
Mimi nilimlaza njaa siku moja kagoma kula eti hataki kitimoto.Siku hizi ni mlaji mzuri mambo ya imani na vyakula wapi na wapi.Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu,sijui walizinguana nini,saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu yaani mpenzi wake na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu
Nikamwambia njoo ulale kwangu,usiku mrefu ndugu zanguni,nilikuwa naishi kighetogheto chumba kimoja ,itoshe kusema tukalala mzungu wa pili kufumba na kufumbua tuko tunaivunja amri ya sita kimasihara.,shetani mtu mbaya sana
Kesho yake ilikuwa weekend ,sie watu wa pwani tunajua kukirimu wageni,mjinga mimi nikanunua kilo ya nyama akasema hali nyama,ndani kulikuwa na kabeji akasema huwa hali kabeji,nikazunguka genge la jiranikuchukua dagaa akasema dagaa akila anasikia kichefuchefu,nikazunguka nyuma kuchuma matembele nayo hatumii,nyanya chungu na bamia pia hatumii,maarage akasema anasikia kiungulia,anataka samaki tu,
Ugali wa dona akasema hatumii pia.
nilimpuuza siku mbili mpaka alipoanza kula ugalii dagaa nikampa nauli arudi kwao
Nilishangaa jamaa aliwezake kuishi na huyu kiumbe kwa muda wote huo
Mimi bunafsi ni mtu ninayekula kila kitu kasoro sumu,nilikuwa njombe nikaletewa ugali na mboga inaitwa mkalifya ni chungu mithili ya shubiri ila ugali uliisha
Wanawake wote ni mashetani mwanawane🤣 mbona hujakutana na shetani bado..!!
Dagaa wamekuwa ghali kuliko nyama, utashangaa maisha yanavyozidi kuwa magumu.Mkuu ni 40,000 juzi tu jumamosi nlipita Kkoo, nikaishia kusema kwanza Hawa huwa siwapendi nikachukua wa Mwanza 13,000 tu .
Nikawaza huu ndio mfano harisi wa maisha magumu, yaani Mwaka juzi dagaa wa Mwanza kila 6000, Bukoba 8,000 Hawa wakigoma ndio ilikuwa elfu kumi na.
Marehemu bibi yangu kuliko anywe chai kavu heri ashinde njaa🤣Chai Vila vitafunwa inaunguza mdomo
Njaa itakufunza nenda jela au boarding school za SERIKALI au zamia hata dar es salaam bila pesa Wala ndugu..Baadae ukaanza kufukia misosi, unakula kama nyangumi, maugali na michuzi yote unafukia kontena zima.
Kwa hiyo bi mkubwa akiwa ana pika analewaKinacholewesha ni moshi wake sio rost yake