Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

ugali dagaa ulivyomtam, nimewazia hapa upate wale wa mwanza wa mafuta wakolee nyanya na kalimao kwa mbaali ugali wangu lazima nivue dera nivae tenge la kifua uniingie mpaka rohoni huyo hayajamkanda maisha
 
Si Bora aliyegundua majani ya kunde....aliyegundua mchunga alikuwa anatafuta nini mara nyanya chungu.....Kabichi sijui alikuwa anataka kugundua nini mara sukuma wiki ...kwanza alianzaje kuona hii mboga ni ya kusukumia wiki ... daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…