Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

Mimi parachichi sili, biringanya, nyanya chungu, mlenda, vya kizungu pia kuna vilivyonishinda sausage, canned food, burger.
Vyakula vya shule ni common hivyo vinalika na ukiwa mjanja wa appetiser umetoboa.
 
Mwanamke huwa anamtreat mwanaume kwa kumwangalia usoni kumsoma udhaifu wake.

Aina ya mapenzi aliyokuwa akipewa mwenzako ni tofauti na uliyopewa wewe.

Mdeko aliyodekewa mwenzako ni tofauti ulivyodekewa wewe.

Mwanamke hujibadili kama kinyonga kutokana na mazingira pamoja na mihemko ya wamaume, ni wepesi sana hata kuadapt lugha za waume zao.

Kwa hiyo ndugu usiulize mwenzako aliwezaje kuishi naye.
 
Mkalufyàaa😂
 
Mimi parachichi sili, biringanya, nyanya chungu, mlenda, vya kizungu pia kuna vilivyonishinda sausage, canned food, burger.
Vyakula vya shule ni common hivyo vinalika na ukiwa mjanja wa appetiser umetoboa.
Siku ya kwanza kula sausages nilipo tafuna nikaenda kwenye sink kutema 😊😊
Sikuizi nakula Sana sousage Mimi sipendi cabbage, Kuna kipindi nilichukia mchicha maana nilienda ugenini wakawa wanapika UGALI NA MCHICHA CHUKUCHUKU MWEZI MZIMA atakuja mtu mmoja aseme kua ni chai 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…