Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sana.Uliupenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana.Uliupenda?
Jose hakuwa akimiliki any disco 82/83, japo I was still a kid lakini kulikuwa na number of young dudes(na Jose akiwemo) waliokuwa wakipiga kwenye houseparty za zama hizo. Unajua zile vyombo vya nyumbani lakini ndiyo vinatumika kwenye home yards au summits na mna-enjoy sana tu.
Back to the topic: Robert 'Kool' Bell, JT and others(Kool and the Gang) enzi za hizo wengine tulikuwa watoto hata houseparty hizo labda kuzingulia madirishani but I used to love music na niliimba in my own funny ways lmao. Childish yeah but it was all vibe.
Pale Morogoro Bilibi ilikuwa inapiga kwenye kumbi za starahe, siyo majumbani, na DJ wake mkuu (nimesahau jina lake) alikuwa na undugu na DJ wa Clouds (au Mawingu) ya Dar es Salaam ambaye nadhani alikuwa ni Joseph Kusaga.
ABBA - Chiquitita
Inasemekana wimbo huu ulitolewa kusindikiza mwaka wa mtoto duniani (International year of the child). Unaweza kuhisi ilikuwa ni lini na wewe ulikuwa wapi?
View: https://www.youtube.com/watch?v=p4QqMKe3rwY
Kipindi hicho mawingu ilikuwa haijaanzaYule DJ mkuu wa Bilibi alikuwa anaitwa Justin; alikuwa anatoa nyimbo kali kutoka Clouds (Mawingu) pale Dar na kuzipeleka Morogororo.
Selina alikuwa mimbaji mzuri sana. Alitoa nyimbo nyingi sana nzuri lakini wimbo nilioupenda na hata yeye mwenye ailiwahi kukiri kuwa ndio wimbo wake mzuri na allishindwa kuuimba kwa mara ya pili kwa vile ulikuwa unatumia octaves tatu ni ule wa "Its all coming back to me Now"Listening to new day by Celine Dion, damn she had a magic voice.
My play list, *
new day
My heart will go on .
Fool again
Queen of my heart
Selina alikuwa mimbaji mzuri sana. Alitoa nyimbo nyingi sana nzuri lakini wimbo nilioupenda na hata yeye mwenye ailiwahi kukiri kuwa ndio wimbo wake mzuri na allishindwa kuuimba kwa mara ya pili kwa vile ulikuwa unatumia octaves tatu ni ule wa "Its all coming back to me Now"
View: https://www.youtube.com/watch?v=j8fHNdrZTSI
Hili ni swali gumu sana. Ila elewa kuwa kwenye muziki sauti zimepangwa hivi "do, re, mi, fa, so, la, ti, do" kukamilisha octave moja. Sasa wimbo huo una hizo octaves tatu kuanzia sauti ya chini sana hadi ile ya juu sana. Niliwahi kuanzisha thread hapa kuelezea misingi ya utunzi wa muziki ila nikakosa muda wa kuimaintain hata sijui thread hiyo iko wapi siku hizi.Octaves ndio nini,kama hutojali? Katika nyimbo za Celine mwenyewe naupenda huu sana.
Kool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)"
Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa ikirudiwa rudiwa sana kwa vile wat waliupenda sana
View: https://www.youtube.com/watch?v=JWuoGZAz94c