Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Kuna kitabu kizuri sana natamani ukisome Mkuu na wengine wakisome pia...atakayeweza kushare akiweke tafadhali

Things I wish I'd known before we get Marriage by Gary Chapman
 

Attachments

Mkuuu nimecheka kwa sauti
 
Teh teh 😂😂😂 umenivunja mbavu mkuu.....

Ngoja tupate busara za wakongwe kina Extrovert mama D wakupe semina ya ndoa.
 
Nimeishi kwe ye ndoa naelekea mwaka wa 19 na siri kuu ya kudumu ni michepuko yangu. Nilipooa nilikuwa na mchepuko ambao hata kwenye harusi yangu ulitinga

Nilikaa now miaka miwili baada ya kuoa na ulikuwa back up kubwa sana ya sex nikokosa home.

Baada ya kuachana nae nilipata shida sana nikatengeneza kanuni ndogo kuwa lazima niwe na mchepuko kama back na huu ni mwaka unaelekea wa 19 ni bandika bandua ya michepuko.

Mke hata akinuna mwezi mie napata utelezi nje tena ukimwambia mchepuko unanyimwa anakupa maradufu sema akili kumkichwa
 
mke anakwambia nikikupa kila siku utanichoka wanawake akili mnazojazana huko saluni hapana kwa kweli.

ilifika mahali nikajiuliza ivi huu ni ujinga gani wa kufuga ng'ombe wakati naweza pata maziwa lita bila kuwa nae tena naweza nunua ya kopo kabisa
 
hahahaa jamani mijadala ya kukandia wanawake imezidi sana humu jukwaani
 
Namba "4" ndo lilikuwa kosa lako kuu kuliko hayo yote! Na matatizo yalianzia hapo. Itakuchukua karne kurekebisha kosa hilo, hivi sasa unalipia kosa lako hilo namba "4" (nne)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…