Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Inafikirishaa sana [emoji2][emoji2]
 
Maisha hayana mteremko kwa namna yeyote ile.

Hata kuuona ufalme wa Mungu ni lazima usotee kumuabudu Mungu.

Ili ule ni lazima jasho likutoke. Ukitaka maisha ya anasa ni lazima ujitume kweli kweli hata kama ni kwa kuiba, unyang'anyi, ufisadi, kuongopa au vinginevyo

Kama unadhani ndoa ni ngumu kuliko upweke basi acha kuoa.
 
starehe gani hizo tunazipata kwa mwanamke ?

kama kula mbususu huwa sioni kama ni jambo la starehe wala nini πŸ˜…πŸ˜…
 
Negotiations ndio ngumu Sasa, Kuna muda yupo wrong anataka uumnyenyekee😌
 
Wanawake wengi wapo hivyo, ukiamua kuchukua Sheria mkononi utajikuta kila siku unaacha

Kitu ambacho wanaume wengi hawafurahii hasa katika kujenga future

Sababu kubwa ni mbususu πŸ˜‚πŸ˜‚
wewe acha tuu kwani tatizo liko wapi. wanawake wamejaa kibao.
plus ngoja nikwambie mwanamke ukishamuwekea msimamo hawezi ondoka kwanza wazazi wake watamshngaaa. uche mume kisa amekuwekea mipaka au kutaka mbususu daily
 
Hizo ndo hasara za kuoa mke mmoja....akiumwa nawe unaumwa akiwa p nawe unakuwa p....

Ila wakiwa wawili au watatu huyu akinuna unahamia uku adi akili itamkaa sawaa.....

Dawa ya mwanamke ni mwanamke.....hisia za wanawake kama moto zinazimwa na moto
 
Pole sana, kuna mambo yanafurahisha sana. ndivyo walivyo... hayanaga muongozo...
 
Nnachoshukuru wakati naingia kwenye ndoa sikua na any expectation za juu
Yani i am simply going along with it,kwenye raha nafurahi,kwenye kero nakerekwa then nakumbuka mema and life goes on!
Nimefikisha 11 years kwa style hii,ya mbele siyajui ila namwamini Mungu tutazeeka pamoja!
 
Na ukiwafata utapotea watu wanapoelezea madhaifu ya wenzao wanasahau Yao kabisa na huenda wanafanya makosa mara nyingi
Muhimu Ishi maishayako watu hawafanani makosa hayafanani mazingira hayafanani
Hoja nyingi ni zilezile tu na wahanga wakubwa wanakuwa wanaume kwa kunyimwa mbususu, wanawake wanajua hiyo ndio silaha kubwa kwao dhidi ya mwanaume.

Mbona kuna maudhi mengi tu kwa wanaume ila hawaachi kuhudumia??

Ukweli ni kwamba, wanawake huwa wanafosi Sana kuolewa ila wakiolewa wanachezea ndoa,


Wakati wao wanaleta uhuni wa kunyima mgegedo, sisi huwa tunaamua kuchukua Sheria mkononi ikiwemo kuvunja mahusiano

Mwisho wa siku, single mothers ndio product kubwa.

Pia ishu ya pesa, Ina nafasi kubwa pia ya majanga mengi katika ndoa, wanawake wengi huoenda kuishi kimaigizo, zaidi ya uwezo wa waume zao

NOTE: Sometimes wanaume ndio wakorofi,
 
Nilitegemea nitakutana na malaika kumbe tarumbeta tu.

yaani kutukanywa, kukashifiwa,mtoto kupigwa kisa kakasirika (kujionesha mwamba), yeye ndiye anapanga nini kifanyike licha ya kuwa mimi ndiye mleta pesa.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Noma kweri kweri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…