Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Huyo dem ulichanganyikiwa na bikra ukasahau other factors, inaonekana kama sio mjeuri basi hakupendi, hili nadhani umeshaambiwa na wakubwa zako nina uhakika kutokana na story yako,
Alaf ukimpiga miti vizuri akaridhika huyo atakua anaitaka mwenyewe
Kazi kwako
 
Sio kweli mkuu wanawake wanapenda sex kukiko wanaume na wanafanya sana tu, ila tu wao wanatafsiri sex kwa zawadi yaan ukimla lazima umpe chochote kile ndo huko chini patafunguka uingie ila unasigina halafu unaondoka hivihici hupati kitu.
Nlifanya utafiti mdogo tu wa kusex na binti 1 kila siku, she is 18yrs nlianza kuwa nampa elf 5 kila siku akija nikimwambia ya boda, mda mwingine nampa elf 10. Kuna mda nikawa nampitia tu jion kila nikitoka job halafu nikimaliza mambo yangu namrudisha, nikaona amepunguza frequency na akawa na visingizio vingi tu napewa mara 1 ama 2 kwa wiki na ninakuta keshamegwa maana smell inabadilika.
Nikaanza tena kumpa hela kila siku na sas anakuja every day namega kisela
 
Watu wangekuwa real kwenye uchumba pasingekuwepo na kitu kinaitwa talaka,kwann unaficha Tabia zako uchumbani ili uingie ndoani Kama wewe ni muhuni,mlevi, mzinzi,una Tabia yeyeto ionyeshe uchumbani ili mwenzio aamue kama anaona inafaa au laaa,haya ya kuficha Tabia then kwenye ndoa ndio unayaonyesha talaka ni lazima.
 
Una umri gani mkuu, mm sikumbuki wife nlimgegeda mwaka gani
 
 
Kuhitihimu cheti (astashahada) ndiyo miaka 10 siyo degree, maana degree ya ndoa ni miaka 30 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nilioa kipindi ambacho kwanza sikuwaza kama nitaoa mapema kwa sababu nilikua nishapata mtoto kipindi ambacho bado nilikua najitafuta na maisha yaani katika 24+ nilikua nishapata mtoto nikasema sasa nitulie nisake maisha mipango ya kuoa nikasema mpaka ikifika 30+ huko.
Nikiwa katika 27+binti niliezaa nae akawa amekomaa nimuoe kwa sababu tulikua tunaishi pamoja,amani ndani hakuna tena ukichelewa kurudi kelele,ukiwahi kurudi kelele,ukifanya hivi ni shida na kelele mwanzo mwisho,nikiwa nawaza nimuoe au nimpige chini mzee siku hiyo akanipigia sim maongezi yetu yakawa hivi baada ya salam

Mzee:unaishi na mtoto wa watu na tayari amekuzalia mtoto vipi una mpango nae gani

Mimi:Kwa sasa sina mpango wowote tunaishi tu

Mzee:ili uwe mwanaume kamili lazima uwe na mipango na maamuzi

Mimi:sawa nimekuelewa

Mzee:najua umenielewa ila hujanielewa kama ninavyokusudia

Mimi:kwa nini

Mzee:kama bado unamuhitaji huyo mwanamke fanya mpango ndani ya mwaka huu umuoe na pia kama humuhitaji fanya linalowezekana ndani ya miezi mitatu ijayo uwe umeshaachana nae

Maongezi yangu na mzee yakaisha hivyo hapo ilikua mwezi wa nne

Basi baada ya kipindi kupita ndani ya huo mwaka nikaja kumuoa

Kiukweli baada ya kumuoa mambo mengi sana yalibadilika mpaka nasema kumbe nisingemuoa huwenda nisingepata kama yeye tena

1)kuhusu mbususu hapa nilipewa yote bila kubaniwa tofauti na kipindi kile,ilikua ukitaka mbususu unaskia nenda kwa huyo aliekutumia sms,mara mtoto bado mdogo hivyo ikawa inapelekea kua na mpango wa kando tofauti tulivyopata wa mtoto pili kila kitu kiliwezekana

2)alivyojifungua mtoto wa kwanza alikua hafui nguo zangu akidai kazi nyingi hawezi au amechoka nami nikawa najifulia zangu kwa kua kufua kwangu halijawahi kua tatizo mpaka leo ila baada ya kumuoa mambo yalibadilika hivyo vyote akawa anavifanya yeye mwenyewe hata tulipopata mtoto wa pili nikawa namuonea huruma nimtafutie msaidizi wa kazi lakini alikataa akawa anafanya mwenyewe mpaka leo na hapo sio mama wa nyumbani kama mwanzo kuna ka kabiashara nimemfungulia

Yapo mengi ambayo alikua ananikwaza ila baada ya kumuoa mengi sana alibadilika tena bila hata ya kukaa chini na kumwambia mpaka wa leo nashindwa kuelewa ulikua ni utoto au alikua anafanya kusudi basi nikikaa kijiweni au nikisoma makala mitandaoni kama hivi nikiskia mikasa ya watu wanavyoishi na wake zao au mwingine akikusimulia changamoto umsaidie mawazo ya kiushauri unashindwa hata uanzie wapi maana kwako havipo kabisa, mpaka washkaji wanahisi wewe ni msiri sana kwamba ww hukutani na changamoto ktk ndoa yako muda mwingine unatunga stori ili mradi waone wote mnapitia misala lakini kwako haipo kabisa.

Naweza sema nilitarajia kutana na zile kelele lakini mambo yamekua tofauti kabisa na ndio maana namuona wakipekee sana sijui huko mbele ya safari,miaka 10 sasa kwenye ndoa mambo bado ni mazuri
 
Hii ni kweli kabisa ndio maana King Solomon alioa 400 akaongeza michepuko 300 hakua fala
 
Binafsi nilitegemea kwenye ndoa kuna maisha mazuri sana.Mkewangu kalikuwa kazuri kigoli mweupe.
Mapaja yake huchoki kuyatazama kweli, alinidatisha nikaamua kumuoa na kumuweka ndani na kupania kuwa ntakuwa na mtafuna kila siku.Jamani nliyo kutana nayo ni aibu hata kusema hapa jukwaani.Na huu mwaka ndo kawa moto mkali,kubwa kuliko yote hana siri juu ya Chumbani.Hajui lugha ya kuongea na wapi aongee dharau majigambo na kazi yake ndo imekuwa fimbo kabisa katika maisha yangu.

Na hapa kashatafuna miaka 10 ya kuishi nae.
Tuna Nyumba Gari na Miradi ila ndo sina raha nayo.
Yaani nikimuona na mtu basi hapo najua siri zote huyu mtu ataambiwa.
Ndoa ni UTAPELI NARUDIA TENA NDOA NI SHIDA NA ZINA PELEKEA SANA KUARIBU FUTURE YA WENGI.

Maana wanaume wanaishia kwenye ulevi.Na wanawake wanaishia kwenye Udangaji
 
Na ninawivu nae shida inakuja kumuacha siwezi na nikisema namuacha sito weza vumilia nikigundua kuna mwanaume anatembea nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…