Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Are you serious!! Utajengaje familia iliyojaa upendo na kujaliana nje ya ndoa? Watoto unaweza kupata nje ya ndoa lakini hutaweza kujenga loving bond na mtoto nje ya ndoa! Huwezi kujenga a lasting loving bond na mwanamke nje ya ndoa!! Mapenzi nje ya ndoa ni ya kudanganyana sana!! ni ya kuibiana sana!! Ukipata mtoto nje ya ndoa utakoma bili ya matunzo ya mtoto!! hapo kupitia mtoto utatunza na kiben ten cha mtu!! Kuna watu hawayawezi majukumu ya kwenye ndoa na yamewashinda na kudai mbichi hizo!!
 
Nilitegemea nitakutana na malaika kumbe tarumbeta tu.

yaani kutukanywa, kukashifiwa,mtoto kupigwa kisa kakasirika (kujionesha mwamba), yeye ndiye anapanga nini kifanyike licha ya kuwa mimi ndiye mleta pesa.
Hatari, kinachouma ni kwamba unapambana Sana kwa ajili ya familia ila familia inakuongezea stress badala ya kukupa hamasa
 
Nilijitahidi mno kuzingatia vigezo,

ila unajua Kuna maisha ya kufake wakati wa uchumba,

Mwisho ukimuoa ndio shida zinaanza
 
Unanunua sio?
 
Sema wewe hauwezi
 
Pesa imekuwa mbele ni kweli si umeona yule ndoa yake iliyovunjwa eti ana sura mbaya ,nyuma ya pazia alikuwa hana hela hata mahari walimpunguzia ila anaonekana pesa hana kabisa.
Yule jamaa alikuwa kwenye chumba cha kupanga, mbele mlangoni kuna zile pazia zenye marinda na ndani kuna giza tororo wakati ni mchana kweupe. Sura si waliiona kabla, ila kwake ndio walikuwa hawapajui wakakuta ni mnyonge wakaamua wamnyonge kweli.
 
Una umri gani mkuu, mm sikumbuki wife nlimgegeda mwaka gani
Halafu mnalala kitanda kimoja!! tafadhali, tafadhali, tafadhali!! Haiwezekani, labda kama mmetengana kabisa au mmetengana vyumba!!Mwanamke hata kama haspendi, kipindi akiwa kwenye ovulation/kipindi yai lake linaanguliwa, utelezi hutoka wenyewe!! hana jeuri ya kuuzuia, na genye kipindi hicho ni automatic!! kwa hiyo kama mmelala kitanda kimoja tumias lugha ya vitendo!! atakushukuru kimoyomoyo hata kama amekasirika!! Cha maana ni kuzijua dalili za mwanamke akiwa kwenye ovulation!! (mnisamehe ke kwa kuanika siri yenu ya kambi!)
 
Wachache watakuelewa
 
Pole, laiti ungejua....
 
Sorry upo kwenye ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…