Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

Ni sahihi awake picha kwa faida ya member na wataalamu wajue kiwango cha maambukizi

Madaktar bila picha hawatajua ni fungus au mavipele au ni ukomavu tu wa pumbu.

Na je Pumbu zinawasha?.
Zimevimba kufikia ule ujazo wa za Nguruwe?.

Asa yeye ataona picha ya Pumbu nayo ni kujidhalilisha . Wakat ni kiungo tu cha uzazi. Na wote tunakijua.
 
Back
Top Bottom