ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Peleka pilipili kichaa hukoNjoo sasa uone ki 🌶️
😂😂😂 mhenga gani huna haya
Peleka pilipili kichaa hukoNjoo sasa uone ki 🌶️
nyie vitoto vyenyewe vya sikuhizi hamna haya na ndio mnataka matusi kuliko sie wazee wenuPeleka pilipili kichaa huko
😂😂😂 mhenga gani huna haya
Mie mhenga mwenzio jichanganye 🏃♂️🏃♂️🏃♂️nyie vitoto vyenyewe vya sikuhizi hamna haya na ndio mnataka matusi kuliko sie wazee wenu
Njoo tuone nani muhenga sasa 😁Mie mhenga mwenzio jichanganye 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Nitakusemea kwa baba angu we hayaNjoo tuone nani muhenga sasa 😁
achana nae, baba yakoo hawezi kukaaaza na bolt 😂😂 sie wahenga hiyo ndio kazi yetu kukaza na kulegeza boltNitakusemea kwa baba angu we haya
Na ana kilinge utarogwaa
Mfyuuu😏😏 kwendraaachana nae, baba yakoo hawezi kukaaaza na bolt 😂😂 sie wahenga hiyo ndio kazi yetu kukaza na kulegeza bolt
kitazibaaaa 😁😁Mfyuuu😏😏 kwendraa
Shindwa kwa jina la Yesukitazibaaaa 😁😁
Hii dawa inaonekana kiboko nitaiandika mahali, naomba uweke na hio dawa ya kuzuia mimba mkuuMtu akiomba ushauri ni jambo jema Kusema na kama hujui siyo busara kuleta mzaha!
Tiba ya pumbu iko katika aina kadhaa! Pia ni shirikishi!
Yaani ukitaka kupona pumbu lazima kwanza ubadilishe mazoea ya kuzilinda pumbu!
Pumbu ni sehemu yenye joto hivyo ikizibwa sana bila usafi na hewa inaanza kuoza!
Zingatia kwanza kubadili chupi na nakushauri kama unataka kupona haraka choma moto chupi zako zote ili kuondoa vimerea visirudi ukianza kutumia dawa,
fangas saingine wapo kama kunguni hawatoki kirahisi hadi uchome godoro (jokes)
Tiba ya kienyeji tumia hii ukishamaliza hatua ya awali ya usafi na kuchoma chupi zako na kutafta zingine za pamba (cotton) ili zisaidie kufyonza unyevu , (utabidilisha kila siku na kufua na kuanika zikauke pasipokuvaa mbichi)
1. Tafta majani ya mwarobaini na mchaichai changanya then anza kunawia mara mbili kwa siku,
Ukiona hii inakufanya unikie mchaimchai hupendi basi tumia njia nyinge ifuatayo
2. Ukingatia usafi na ukavu, ponda ponda vitunguu saumu vya kutosha nunua na mafuta ya nazi changanya, ukiweza kupata majani flani hivi yanaitwa MZUGWA ukayaponda pamoja na vitunguu saumu hiyo dawa inakuwa supa zaidi mix na na hayo mafuta ya nazi then jipake asubuhi na jioni (kumbuka usafi ni pamoja na kunyoa msitu bro) ( vitunguu saumu vya 2000+ mafuta ya nazi 1000 + mzugwa majani bure UTAPONA KABISA MAZIMA KWA 3000 tu
Note! Zingatia usafi, acha ngono za hovyo, badilisha chupi HUTAKAA UIONE TENA MILELE!
Kwa wadada wanauchukia kutumia uzazi wa mpango wa hospital dawa rahisi kabisa zipo za mmea safi na salama mimba haingiii hata mme amimine ndoo za .... Mimba hainasi
Anyway mimi SIYO MGANGA bali Nimejua dawa nyingi sana kutokana na kuishi porini muda mrefu nikichunga, kwasasa MIMI NI FUNDI UJENZI NA UMEME (fundi Samico kwa kazi za kiufundi napatikana kwa namba 0711756341
limao/ndimu na usafiHabari I???
Kichwa Cha habari kisemavyo.Je ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?
Pumbu erosion aka gitaHaeleweki ni fungus au ni pumbu erosion ila bora fungus sio pumbu erosion utajikuta unafanya ukakamavu mpaka sehemu isipotakiwa
Utakakamaa kwa kupenda au kutokupenda ni mwendo wa kubana miguu ,mguu pande mguu sawa 🙌Pumbu erosion aka gita
Pande zangu hizo kakaWe jamaa hujasoma pugu boys kweli? Hujapitia pond?
Nitakusemea kwa baba angu we haya
Na ana kilinge utarogwaa
Paka pilipili au spirit mkuuHabari I???
Kichwa Cha habari kisemavyo.Je ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?