min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Na boys tulikua hatuogi hata miezi mitatu ila kuna shule za kike ,wakija kututembelea tunatoka tumewaka hatari😅Uzuri kwa wengi ilikuwa inaisha yenyewe 😁😁
Na boys tulikua hatuogi hata miezi mitatu ila kuna shule za kike ,wakija kututembelea tunatoka tumewaka hatari😅Uzuri kwa wengi ilikuwa inaisha yenyewe 😁😁
Nawewe umezidi sasa. Akikuuliza uliiona vipi wewe ni mke wake unalakujibu hadi hapo?pumbu kama la ng'ombe unadhani atathubutu kulipiga picha?
niliambiwa na mke wake!Nawewe umezidi sasa. Akikuuliza uliiona vipi wewe ni mke wake unalakujibu hadi hapo?
Ikawaje sasa?😄😁😆Niliacha kuvaa chupi wala boksa, zakari ikawa inafikiwa na hewaa ya kushato, nilikuwa mzee wa vikoi na makaputula makubwa
Nikapona fresh na size ya mzigo ukaongezeka 😅😅Ikawaje sasa?😄😁😆
Pumbu erosion mziki wake sio powaHii kitu kwa wale wa same boys miaka hiyo ilitutesa mno , mnapiga hata miezi mitatu mwili haujatiwa maji MastaKiraka Mpaji Mungu 😁
Unataka omba mbupuu za wakubwa zakoNi sahihi awake picha kwa faida ya member na wataalamu wajue kiwango cha maambukizi
NisameheweUnataka omba mbupuu za wakubwa zako
Alooooo.. nyie Gen Z nyieeeeeNisamehewe
Nimesema ni kwa faida ya member 😂
Wewe ni mhenga😂Alooooo.. nyie Gen Z nyieeeee
Mkuu fanga pumbu ndio dawa zake hizo..mambo ni mengi muda mchache sana...tia limao huko chaap chaapMmhhh
🤔🤔 Kwamba unakuwa huogi?Hii kitu kwa wale wa same boys miaka hiyo ilitutesa mno , mnapiga hata miezi mitatu mwili haujatiwa maji MastaKiraka Mpaji Mungu 😁
Mie babu yako kabisa, nikikulaani laana yangu inakupata vizuri, na nikikuonesha tupu yangu unapata laana ya mababuWewe ni mhenga😂
factUkiwa na aibu hautapata dawa stahiki.
Madaktar wa JF wanahitaj na picha.
NB:
Wahi hosp mapema. Watakushaur zaid upone na tatizo lisijirudie.
Hebu tuoneMie babu yako kabisa, nikikulaani laana yangu inakupata vizuri, na nikikuonesha tupu yangu unapata laana ya mababu
We jamaa hujasoma pugu boys kweli? Hujapitia pond?Haeleweki ni fungus au ni pumbu erosion ila bora fungus sio pumbu erosion utajikuta unafanya ukakamavu mpaka sehemu isipotakiwa
Njoo sasa uone ki 🌶️Hebu tuone