Mtu akiomba ushauri ni jambo jema Kusema na kama hujui siyo busara kuleta mzaha!
Tiba ya pumbu iko katika aina kadhaa! Pia ni shirikishi!
Yaani ukitaka kupona pumbu lazima kwanza ubadilishe mazoea ya kuzilinda pumbu!
Pumbu ni sehemu yenye joto hivyo ikizibwa sana bila usafi na hewa inaanza kuoza!
Zingatia kwanza kubadili chupi na nakushauri kama unataka kupona haraka choma moto chupi zako zote ili kuondoa vimerea visirudi ukianza kutumia dawa,
fangas saingine wapo kama kunguni hawatoki kirahisi hadi uchome godoro (jokes)
Tiba ya kienyeji tumia hii ukishamaliza hatua ya awali ya usafi na kuchoma chupi zako na kutafta zingine za pamba (cotton) ili zisaidie kufyonza unyevu , (utabidilisha kila siku na kufua na kuanika zikauke pasipokuvaa mbichi)
1. Tafta majani ya mwarobaini na mchaichai changanya then anza kunawia mara mbili kwa siku,
Ukiona hii inakufanya unikie mchaimchai hupendi basi tumia njia nyinge ifuatayo
2. Ukingatia usafi na ukavu, ponda ponda vitunguu saumu vya kutosha nunua na mafuta ya nazi changanya, ukiweza kupata majani flani hivi yanaitwa MZUGWA ukayaponda pamoja na vitunguu saumu hiyo dawa inakuwa supa zaidi mix na na hayo mafuta ya nazi then jipake asubuhi na jioni (kumbuka usafi ni pamoja na kunyoa msitu bro) ( vitunguu saumu vya 2000+ mafuta ya nazi 1000 + mzugwa majani bure UTAPONA KABISA MAZIMA KWA 3000 tu
Note! Zingatia usafi, acha ngono za hovyo, badilisha chupi HUTAKAA UIONE TENA MILELE!
Kwa wadada wanauchukia kutumia uzazi wa mpango wa hospital dawa rahisi kabisa zipo za mmea safi na salama mimba haingiii hata mme amimine ndoo za .... Mimba hainasi
Anyway mimi SIYO MGANGA bali Nimejua dawa nyingi sana kutokana na kuishi porini muda mrefu nikichunga, kwasasa MIMI NI FUNDI UJENZI NA UMEME (fundi Samico kwa kazi za kiufundi napatikana kwa namba 0711756341