Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Duh🥺🙌🏿Paka pilipili au spirit mkuu
Duh🥺🙌🏿Paka pilipili au spirit mkuu
😁😁 hata naoga sasaaa.. njooni tuu mjaribilueBlockchain sema suu 😂
Mafuta ya nazi Yale ya 1000 .Habari I???
Kichwa Cha habari kisemavyo.Je ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?