Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

nyie vitoto vyenyewe vya sikuhizi hamna haya na ndio mnataka matusi kuliko sie wazee wenu
Mie mhenga mwenzio jichanganye πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hii dawa inaonekana kiboko nitaiandika mahali, naomba uweke na hio dawa ya kuzuia mimba mkuu
 
Habari I???
Kichwa Cha habari kisemavyo.Je ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?
limao/ndimu na usafi
Safisha kea mswaki hayo maeneo
Kausha vizuri
Paka ndimu/limao
Paka Mafuta ya nazi
Vaa chili/boxer kavu safi
Epuka kurudia nguo ya ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…