Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

Habari I???
Kichwa Cha habari kisemavyo.Je ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?
Mafuta ya nazi Yale ya 1000 .
Ukimaliza kukoga jikaushe vizuri paka kwa wingi kidogo asubuhi na jioni kabla hujalala.
Usilale na nguo za kubana
Wiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ