Bintimaringo
New Member
- Aug 1, 2023
- 4
- 13
Hata mimi niSitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Yani kama mimi sitotaka sherehe yani nikitoka kanisan ni kupiga picha nzuri, twende honeymoon sehemu nzuri basi.Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Japo anaweza kufanyia biashara ya kukodisha Kwa wengineHuwa naoga raha ya mavazi ya harusi hasa mtoto wa kike yanunuliwe sio yaazimwe...mie binafsi nilimnunulia ya send off na reception sikutaka ya kuazina madukani ..nilitaka iwe kumbukumbu yake kwenye kabati
Sawa ila najuaga hizo mambo hasa watoto wa kike labda wewe uwe tofautiUngekua unanijua usingekua na shaka na neno langu😄
Yeah hata mimi sasa anakodisha wengine..ila mm sikutaka yeye akodi vazi la harusiJapo anaweza kufanyia biashara ya kukodisha Kwa wengine
Bibi yenu pia nilimnunulia, kwahiyo saivi anakodisha Kwa wengine
Hahahahaha...hapoa kila mtu ana maslahi na harusi ya binti..Kwa kweli, hao ndugu ndiyo huwa washawishi wakubwa kutaka sherehe na harusi za gharama 🙌
Kabisa yani unampigia mtu kama unamdai wakati ni vitu vya hiari me sitofanya hiki kitu ntakomaa na familia yangu tu labda pia na watu ambao nilishawachangia before.Sipendi ile hali ya kupigia watu simu kuwakumbusha michango
Sina hela za kuchezea kuandaa sherehe kubwa kuwalisha watu.
Sherehe sio lazima
Naona wachache ukilinganisha na wanaofanya Kwa michango.Kumbe tulio fanya wenyewe kwa asilimia mia tuko wengi eeh ..
Ulishindwa kuweka ata kwenye budget yako box mbili la mizinga kwa ajili ya wadau hapo ulifail aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanini Mkuu [emoji28]
Hahahahaha kuna siku nilimuuliza hii hela ya gauni mbn unapewq na sio mm niliyenunua ..akacheka nikapewq ofa ya bia mbiliAkikodisha harusi nne hivi hela yake inakuwa imerudi
Hahaha.........harusi Zina mambo mengi sana ila kikubwa ni Tambo.Hahahahaha...hapoa kila mtu ana maslahi na harusi ya binti..
Mama ana maslahi ya kurudishiwa yale aliyochanga kwa wengine
Mashangazi wanataka watambe
Marafiki wanataka wakuchangie na wewe uwachangie na kukutunza
Kuna vikundi vya umoja vinataka viuziane vijora na sare
Kuna mama mdg ana zawadi yake anataka atoe waru wamuone
Ile ya michango ni kusumbua watu tu na kuumiza kichwa ktk kufuatilia na kupanga bajetiNaona wachache ukilinganisha na wanaofanya Kwa michango.
Mwaka Jana pekee nilipata Kadi zaidi ya 14 kuombwa michango. Angalia kiasi sasa, 150k ama 60k
Usipokuwa na kiubahili Kwa mbali lazima mifuko itoboke 😅🙌
Hahahahaha..harusi huwa ni majigambo fulani hiviHahaha.........harusi Zina mambo mengi sana ila kikubwa ni Tambo.
Yaani Kuna watu wanatoa zawadi kwaajili ya kuwakomesha wengine 🙌
Niliona noma Kwa Mchungaji na MwinjilistiUlishindwa kuweka ata kwenye budget yako box mbili la mizinga kwa ajili ya wadau hapo ulifail aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee. Ulitumia mbinu gani mkuu?Gharama za harusi yangu hazikuzid milion moja na nusu.
Hongereni MkuuNdoa tulifunga ya kimila bibi yangu alinilea baada ya wazazi kutokuwepo sasa alisimamia kila kitu.... Ni lazima kufunga ya kanisani? Nauliza si kwa ubaya ndoa ina amani na watoto watano na kijacho,,, wazazi wawili wote ni wafanyabiashara.