Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani

Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Hata mimi ni
Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani

Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Yani kama mimi sitotaka sherehe yani nikitoka kanisan ni kupiga picha nzuri, twende honeymoon sehemu nzuri basi.
 
Huwa naoga raha ya mavazi ya harusi hasa mtoto wa kike yanunuliwe sio yaazimwe...mie binafsi nilimnunulia ya send off na reception sikutaka ya kuazina madukani ..nilitaka iwe kumbukumbu yake kwenye kabati
Japo anaweza kufanyia biashara ya kukodisha Kwa wengine

Bibi yenu pia nilimnunulia, kwahiyo saivi anakodisha Kwa wengine
 
Kwa kweli, hao ndugu ndiyo huwa washawishi wakubwa kutaka sherehe na harusi za gharama 🙌
Hahahahaha...hapoa kila mtu ana maslahi na harusi ya binti..

Mama ana maslahi ya kurudishiwa yale aliyochanga kwa wengine
Mashangazi wanataka watambe
Marafiki wanataka wakuchangie na wewe uwachangie na kukutunza
Kuna vikundi vya umoja vinataka viuziane vijora na sare
Kuna mama mdg ana zawadi yake anataka atoe waru wamuone
 
Sipendi ile hali ya kupigia watu simu kuwakumbusha michango

Sina hela za kuchezea kuandaa sherehe kubwa kuwalisha watu.

Sherehe sio lazima
Kabisa yani unampigia mtu kama unamdai wakati ni vitu vya hiari me sitofanya hiki kitu ntakomaa na familia yangu tu labda pia na watu ambao nilishawachangia before.
Hizo ela za kufanya sherehe bora tufanye maendeleo na Mr.
 
Hahahahaha...hapoa kila mtu ana maslahi na harusi ya binti..

Mama ana maslahi ya kurudishiwa yale aliyochanga kwa wengine
Mashangazi wanataka watambe
Marafiki wanataka wakuchangie na wewe uwachangie na kukutunza
Kuna vikundi vya umoja vinataka viuziane vijora na sare
Kuna mama mdg ana zawadi yake anataka atoe waru wamuone
Hahaha.........harusi Zina mambo mengi sana ila kikubwa ni Tambo.

Yaani Kuna watu wanatoa zawadi kwaajili ya kuwakomesha wengine 🙌
 
Naona wachache ukilinganisha na wanaofanya Kwa michango.

Mwaka Jana pekee nilipata Kadi zaidi ya 14 kuombwa michango. Angalia kiasi sasa, 150k ama 60k

Usipokuwa na kiubahili Kwa mbali lazima mifuko itoboke 😅🙌
Ile ya michango ni kusumbua watu tu na kuumiza kichwa ktk kufuatilia na kupanga bajeti
 
Ndoa tulifunga ya kimila bibi yangu alinilea baada ya wazazi kutokuwepo sasa alisimamia kila kitu.... Ni lazima kufunga ya kanisani? Nauliza si kwa ubaya ndoa ina amani na watoto watano na kijacho,,, wazazi wawili wote ni wafanyabiashara.
 
Ulishindwa kuweka ata kwenye budget yako box mbili la mizinga kwa ajili ya wadau hapo ulifail aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliona noma Kwa Mchungaji na Mwinjilisti

Ila Kuna watu walijiongeza, nilishangaa watu Wamelewa wakati kulikuwa na Maji na Soda tu 🙌

Kumbe jamaa walikuwa wanachanganya K vant kwenye Soda na Maji 🙌
 
Ndoa tulifunga ya kimila bibi yangu alinilea baada ya wazazi kutokuwepo sasa alisimamia kila kitu.... Ni lazima kufunga ya kanisani? Nauliza si kwa ubaya ndoa ina amani na watoto watano na kijacho,,, wazazi wawili wote ni wafanyabiashara.
Hongereni Mkuu

Ndoa za Kanisani hulengwa na Wadada wengi hasa Ndoa za Makanisa ya RC/KKKT/Morevian/Anglikana maana hakuna kuachana

Unakumbuka ishu ya Mzee Mengi na Marehemu Mkewe?

Ilibidi kusubiri Mkewe kufariki ndiyo Mzee kuja kumwoa K Lynn

Kwahiyo Ndoa za Kanisani zinampa Kinga Mwanamke
 
Back
Top Bottom