Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Michango Kwa maoni yangu, naona watu wengi hawapendezwi nayo. Wanatoa ile basi tu lakini wengi hawapendi kuchangia hasa Kwa nyakati hizi hali ya Uchumi imekuwa tight Kwa watu wengi
Hoja siyo gharama, ndoa ni suala la mtu binafsi, hivyo hakuna sababu ya kuchangisha watu kwa starehe binafsi. Muoaji anapaswa kujipanga ili kufanikisha hilo.
 
Kwa kweli ndoa yangu bado sijapata picha itakuwaje? Lakini ndoa ya kiserikali chap na baada ya hapo tunaelekea home itanifaa sana. Sitamani kutumia hata milioni 1 kwa ajili ya shughuli hiyo.
Kama familia inauwezo sawa ni hakinkabisa kufanya sherehe kubwa ila Mimi huwa nashangaa sana familia uwezo ni mdogo ila kutumia gharama kubwa kwenye bwebwe za siku moja then mnaendelea na msoto..haijakaa sawa.
 
Back
Top Bottom