Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuwafuga?Nishakubali mbona! Muhimu waletwe ng'ombe wawili dume na jike
Harusi za mijini siku hizi zimekuwa ni mizigo kwa wahusika kwa kubadilishwa kuwa fashionUlifanya kama Mimi tu, japo binafsi nilitumia kiasi kikubwa cha Fedha plus muda mrefu kujiandaa
Ng'ombe wa mama ephen haoUnataka kuwafuga?
Hakuna, lunch yenyewe tulilia shambani.Hamkuwa na sherehe Mkuu?
That's wonderful ๐ค
Itabidi maharusi watarajiwa wajifunze kwako
Bibie alivaa shela mi nilikula suti ya kizushiIlikuwaje Mkuu?
Hamkununua vitu vya gharama i.e shela/Suti, chakula, Vinywaji n.k
SawaaaaNg'ombe wa mama ephen hao
Huko kama mimi nipendeze na picha zitoke vizur basii.Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Hilo limepita tayari nishapata matroniMm naomba niwe matroni nikae meza kuu๐๐
Hoja siyo gharama, ndoa ni suala la mtu binafsi, hivyo hakuna sababu ya kuchangisha watu kwa starehe binafsi. Muoaji anapaswa kujipanga ili kufanikisha hilo.Michango Kwa maoni yangu, naona watu wengi hawapendezwi nayo. Wanatoa ile basi tu lakini wengi hawapendi kuchangia hasa Kwa nyakati hizi hali ya Uchumi imekuwa tight Kwa watu wengi
Kama familia inauwezo sawa ni hakinkabisa kufanya sherehe kubwa ila Mimi huwa nashangaa sana familia uwezo ni mdogo ila kutumia gharama kubwa kwenye bwebwe za siku moja then mnaendelea na msoto..haijakaa sawa.Kwa kweli ndoa yangu bado sijapata picha itakuwaje? Lakini ndoa ya kiserikali chap na baada ya hapo tunaelekea home itanifaa sana. Sitamani kutumia hata milioni 1 kwa ajili ya shughuli hiyo.
Hapa ndipo ndoa zinapokuwa utapeliMbaya zaidi Ndoa zenyewe zinashindwa kudumu ๐
Unakuta mmetumia more than 15M then baada ya miezi 6 Kila mtu anadai talaka ๐
Kuku ni za maharusiHapo kwenye Kuku ndiyo penyewe Mkuu ๐
Bi harusi kupata ni rahisi sana au nitangaze nia hapa uone maombi yatakavyokuwa mengi?Kwahiyo umeanza kutafuta matron kabla ya Bibi harusi?
Mnataka kunipa kazi Babu yenu kumtafuta Mkwe Siku mbili kabla ya harusi๐