mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Makubaliano ilikuwa aje for weekend, ile weekend uliyopita, jumatatu nikamuachia posho ya uchafuzi na nauli nikamuonyesha sehemu ya kuweka funguo nikaenda kibaruani.
La haulaaa jioni kurudi nakuta ile hela kanunua masufuria, msosi wa nguvu nguo zetu zimefuliwa yupo kwenye khanga moko.
Sasa ni wiki moja haonyeshi dalili ya kuondoka, nataka nitengeneze safari ya kikazi ya kutunga niwe nalala hata lodge bila kumuachia matumizi najua njaa itamkimbiza tu.