Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

Hakuna sababu ya kuwa MNAFIKI.

Mwite ukiwa serious mkumbushe kuwa yeye bado si mkeo na utakapo amua awe mke utafuata taratibu za kwenda kwao kujitambulisha ila kwa sasa mnaiba tu.

Muulize, iwapo angekuwa mkeo, angependa mtoto wenu wa kike akajimilikishe kwa mwanaume bila kufuata taratibu?
MPE NAULI AONDOKE.

Halafu kama huna mpango nae, muweke wazi pia kuwa huna mpango nae. Sio unampotezea muda miaka 5 halafu unaoa mwingine.

VIJANA TUACHE UNAFIKI KWA MABINTI. UMALAYA UNAWEZEKANA HATA BILA UNAFIKI.
 
Mkuu ushawahi tokewa na situations kama hiyo..

Au unazani ni simple kama X+5=10
 
Nilitafuta kufumaniwa
Screenshot_20240714-185815_1.jpg
 
Makubaliano ilikuwa aje for weekend, ile weekend uliyopita, jumatatu nikamuachia posho ya uchafuzi na nauli nikamuonyesha sehemu ya kuweka funguo nikaenda kibaruani.

La haulaaa jioni kurudi nakuta ile hela kanunua masufuria, msosi wa nguvu nguo zetu zimefuliwa yupo kwenye khanga moko.

Sasa ni wiki moja haonyeshi dalili ya kuondoka, nataka nitengeneze safari ya kikazi ya kutunga niwe nalala hata lodge bila kumuachia matumizi najua njaa itamkimbiza tu.
Haondoki ng'oo......huyo ameshafika.
 
Back
Top Bottom