Hakuna sababu ya kuwa MNAFIKI.
Mwite ukiwa serious mkumbushe kuwa yeye bado si mkeo na utakapo amua awe mke utafuata taratibu za kwenda kwao kujitambulisha ila kwa sasa mnaiba tu.
Muulize, iwapo angekuwa mkeo, angependa mtoto wenu wa kike akajimilikishe kwa mwanaume bila kufuata taratibu?
MPE NAULI AONDOKE.
Halafu kama huna mpango nae, muweke wazi pia kuwa huna mpango nae. Sio unampotezea muda miaka 5 halafu unaoa mwingine.
VIJANA TUACHE UNAFIKI KWA MABINTI. UMALAYA UNAWEZEKANA HATA BILA UNAFIKI.