Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Makubaliano ilikuwa aje for weekend, ile weekend uliyopita, jumatatu nikamuachia posho ya uchafuzi na nauli nikamuonyesha sehemu ya kuweka funguo nikaenda kibaruani.

La haulaaa jioni kurudi nakuta ile hela kanunua masufuria, msosi wa nguvu nguo zetu zimefuliwa yupo kwenye khanga moko.

Sasa ni wiki moja haonyeshi dalili ya kuondoka, nataka nitengeneze safari ya kikazi ya kutunga niwe nalala hata lodge bila kumuachia matumizi najua njaa itamkimbiza tu.
 
Ujana chai ya moto...
 
Atavumilia ili umuone ni wife material
 
Muombe tigo ,atagoma kisha ataondoka kwa hasira .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…